Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
Kuna siku(last wikiend)nipo zangu hapo rongoni na demu angu mida ya saa 10 jioni,tumepoa ile kinyamwezi tu,tunaenjoy breeze na vinywaji mbele yangu naona kuna meza wamekaa watu wanne wanaume wa 3,na demu mmoja.
Wanaume wawili kati yao ni wenye asili ya asia(wahindi).
Wengine ni wabongo tu,ja maa walikuwa wanakula gambe na kiepe na mambo yao mengine,wale wahindi walikuwa wanakula sana gambe asee,baada ya muda kidogo gambe lao likakata muhindi mmoja akainuka,akaanza kuvua nguo ili akaogelee,picha linaanza anatoa mtandio kwenye rasket anajifunika then anabadili nguo..
Ile kuvua suruali jamaa ana shanga kiunoni,daaah aseee nilishangaa kinoma yaaani,nikajikuta natukana mbele ya yule demu angu ,ye akaanza kucheka sana,coz niliona soo kinoma,muhuni alikuwa anatuchoresha sana vidume pale beach asee.
Basi mwana akaenda kuoga zake,akiwa na mshakaji mmoja ambaye alikuwa anaonekana ni beach boy tu,jamaa full kuweka mapozi ya kike coz alikuwa anapigigwa picha na kale kademu pale.
Muda mfupi badae yule mwana mwingine sasa ambaye ni muhindi pia akainuka akazama zake kwenye maji pale wakaanza kucheza cheza pale mbele ya watu hapo,hata hawajali wala nini asee.
Wakaoga palee mpaka walipoona wamechoka mwana mvaa shanga akatoka zake akaja kufua boxer za jamaa yake akazianika kwenye moja ya matairi makubwa pale pembeni ya bahari.
Uvumilivu ukanishinda nikamwambia demu angu twenzetu feri tukanunue mboga twendezetu getto mitaa ya magogoni tupike tule tu.Dah