Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sio wazima kichwanii, ila hivi hao mashoga hawaogopiii kukurupukia straight? Huwaa najiuliza yaan wanaanzaje? Wakiwa wamelewa, wamevuta bangi au??

Mbna kavu kavu haiji kabisaaa, lol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaangalia upole wako kwanza....kila mwanaume ana viashira vya kike kidogo, na Kila mwanamke ana viashiria vya kiume kidogo......
Urafiki unajebgwa taratibu mara unaanza kushikwakwa.....
 
Juzi tena natoka zangu ferry kwenda home ile napanda na pikipiki toka bondeni tanavamba naianza lami inayopita mbele ya maduka mpka petrol station pale nikasimamishwa na mshkaji mmoja akaniuliza mm ni boda na mimi nikamuhoji unaenda wapi?
Akajibu anaenda majumba sita na ndio njia yangu sipendi sana kupita kibada njia ya kati basi akachukua chipsi zake ila toka akiwa anaongea na mimi nilihisi ni shoga kabisa nikavunga.
amepanda akanishika bega na nikawa namsikia kaleta kifua kwenye mgongo wangu haooo tukaanza safari hatujafika hata rongoni jamaa akaanza kuniongelesha najidai simsikii nina helmet akasogeza mdomo eneo la sikio ananiambia twende kwangu nikamwambia ndio naenda kwako si unanilipa nikupeleke ananipiga kibao cha kidada kabisa ananiambia bwanaaaa kwani hunielewi ww nae nikamwambia funguka hapo tushaikamata pweza naona mbele paleee ndio njia ya kuingia majumba sita nikaingia .

tulipofika nikaenda na barabara ina vidimbwi vya hapa na pale tukafika kwenye ka mjengo kana geti ananiambia ingiza pikipiki nikamwambia we fanya malipo alafu nipange siku nyingine tuonane leo sikua na nia wala mpango wa kukutana na mtu kufanya uchafu jamaa akaniamini . Akanipa 5k na nauli ya pale kwa usiku ni 3k mtu akibana hata 2k unampeleka si njia hiyo hiyo mbele kwa mbele basi nikakamatia hela yangu nikampa namba za uongo na kweli akapiga ikaita na sijui ni namba ya nani basi nikamwambia nitaisave hakutaja jina akasema nisave rafiki na mimi nikamwambia save rasuli kuepusha mambo mengi kesho asije akanikuta sehemu akaanz akuita jina la kweli ikawa kimbembe. Nikaondoka ila mashoga kigamboni sio mchezo wapo kuanzia vijana wadogo hadi mibaba mizima kabisaaa na sio mara ya kwanza kukutana na uchafu huu inasikitisha
Kigamboni ina mashoga wengi sana tena sana ukienda Longono utawaona
 
Wanaangalia upole wako kwanza....kila mwanaume ana viashira vya kike kidogo, na Kila mwanamke ana viashiria vya kiume kidogo......
Urafiki unajebgwa taratibu mara unaanza kushikwakwa.....
Aaaaah wee thubutuuu, wanakua washajitoa ufahamu wallah, hivi hivi mmmh
 
Sasa vibe unalomuonyesha anakosa uhakika, kwasababu Kuna wale 'bisexual' wanasukuma jinsia zote mbili.....
Najua, ila shoga kujitongozeshaa hadi kumtamkia muhusika, haijakaa poa, bora uoneshe ishara akielewa fresh, akikaushaaa poa tyuuh.

Sasa unamfungukia mwshoe unasambazwaa mtaan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Soko linakua au vipi[emoji23]
 
Kigamboni ina mashoga wengi sana tena sana ukienda Longono utawaona

Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
 
Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
Kuna siku(last wikiend)nipo zangu hapo rongoni na demu angu mida ya saa 10 jioni,tumepoa ile kinyamwezi tu,tunaenjoy breeze na vinywaji mbele yangu naona kuna meza wamekaa watu wanne wanaume wa 3,na demu mmoja.

Wanaume wawili kati yao ni wenye asili ya asia(wahindi).

Wengine ni wabongo tu,ja maa walikuwa wanakula gambe na kiepe na mambo yao mengine,wale wahindi walikuwa wanakula sana gambe asee,baada ya muda kidogo gambe lao likakata muhindi mmoja akainuka,akaanza kuvua nguo ili akaogelee,picha linaanza anatoa mtandio kwenye rasket anajifunika then anabadili nguo..

Ile kuvua suruali jamaa ana shanga kiunoni,daaah aseee nilishangaa kinoma yaaani,nikajikuta natukana mbele ya yule demu angu ,ye akaanza kucheka sana,coz niliona soo kinoma,muhuni alikuwa anatuchoresha sana vidume pale beach asee.

Basi mwana akaenda kuoga zake,akiwa na mshakaji mmoja ambaye alikuwa anaonekana ni beach boy tu,jamaa full kuweka mapozi ya kike coz alikuwa anapigigwa picha na kale kademu pale.

Muda mfupi badae yule mwana mwingine sasa ambaye ni muhindi pia akainuka akazama zake kwenye maji pale wakaanza kucheza cheza pale mbele ya watu hapo,hata hawajali wala nini asee.

Wakaoga palee mpaka walipoona wamechoka mwana mvaa shanga akatoka zake akaja kufua boxer za jamaa yake akazianika kwenye moja ya matairi makubwa pale pembeni ya bahari.

Uvumilivu ukanishinda nikamwambia demu angu twenzetu feri tukanunue mboga twendezetu getto mitaa ya magogoni tupike tule tu.Dah
 
Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
Afande usibishe wateja wa mbagala ni siku za holiday tu pale Hadi kuna photographer mashoga
 
Ila km huyo ungemzibua makofi akili imkae, huwa nasema kila siku shoga yeyotee akikusumbua na wee hutaki malizana nae hapo hapo.

Ila nimechekaa hadi machoziii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna watu wanapitia magumu khaaah
Kwann nivunje sheria ukishawajua hawasumbua la msingi kumkwepa utampiga alafu haisaidii chochote
 
Rongoni ni beach club na wateja WA hiyo Beach club asilimia 90 sio wakazi wa Kigamboni.... asilimia 90 wanatokea Mbagala....
Unachokiona hapo Rongoni usihusishe na Kigamboni
Tungi midizini kichangachui maeneo ya uwanja wa swala kuna vishoga kibao vinakaa mitaa hio na ni kwavile sina uzoefu sana wa mitaa ya katikati pale ila kigamboni imechafuka njoo sasa kuelekea geza kuelekea kibada aloo wapo kibao. Wanaipenda rongoni kwakua wanajua ni fukwe ya jeshi na usalama upo kiasi japo ukijipindua unaliwa kichwa mapema kabla wajeda hawajaja
 
Back
Top Bottom