Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Wanawake au wanaume waliowahi kutongozwa na wasagaji/Mashoga watoe ushuhuda humu

Me naona mashoga ni watu ambao tunatakiwa tujifunze namna ya kushi nao ktk jamii zetu,kwa sababu kwenye jamaa zetu kuna watu hatari zaidi ya hao mashoga,tatzo kubwa la shoga ni iyo homosexual basi hana madhara mengine zaidi ya hayo,

Rushwa,ujambazi,ubinafsi haya ndio matazo yanayoirudisha nyuma jamii

Mashoga wapo na huzaliwa ivyo wengine sasa kuwachukia inasaidia nini ni kujifunza tu namna ya kuishi nao na kukubali mapungufu yao ktk jamij zetu

Simaanishi naunga mkono ivyo vitendo lahasha lakini uwepo wao ktk jamii zetu hauepukiki tujifunze tu namna ya kuishi nao na kukubali mapungufu yao

Nakupa offer ya tigo buree binamu ucheze nayo usiku kucha[emoji16][emoji16], nyie ndo wanaume sasa sio hii minguruwe pori mxieew[emoji16][emoji16]
 
Ndio jamii yetu hii ya unafiki unafiki!

Wao wenyewe wana kamsemo kao eti "maisha bila unafiki hayaendi".

Humu humu kuna wala tigo na waliwa tigo, walawiti, wafiraji, wafirwaji na wanaonajisi watoto. Lakini hutawasikia katu.

Wote humu tuna akili timamu, tuna pesa, magari na nyumba nzuri. Lakini pia tunamcha Mungu siku saba za wiki na kumtumikia masiha kwa kila namna!

Unabaki kujiuliza, hao mashoga wote waliopo Tangangika, hakuna hata mmojawapo aliyeko humu!!?? wale wafira mashoga nao hawapo kabisa!!??

Hivyo, endapo ningekuwa nakokotoa sampuli ya utafiti wa mitandaoni kuhusu ushoga, ningehitimisha kwamba, Tanganyika hakuna ushoga!

Mi nimependa tu hapo kuwa una pesa, magari na nyumba nzuri , eeh Mungu wa mbingun niepushe na hizi tamaa warumi mie[emoji23][emoji23], watantoa kizazi Mwaka huu[emoji16][emoji16]
 
Ahahah kupumua huko kwio , hata nguruwe anapumua, awe na hela tu na asiwe na mdomo kama wanaume wq jf , Yan wanaume wa JF wana midomo utadhan wanawake mxieew halafu hela hawana wananuka tu pumb
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nakojoaaa
 
Leo nimepokea Message’s nyingi sana PM watu wanauliza if I’m gay , nimecheka nusu nifee, hakuna hata aliyeomba namba yangu ya Mpesa anitumie hela mxieew sina time na upuuzi mie nipen hela niweke wazi jinsia yangu , sija trend mda humu[emoji23][emoji23]
 
Leo nimepokea Message’s nyingi sana PM watu wanauliza if I’m gay , nimecheka nusu nifee, hakuna hata aliyeomba namba yangu ya Mpesa anitumie hela mxieew sina time na upuuzi mie nipen hela niweke wazi jinsia yangu , sija trend mda humu[emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂 Ur life ur rules ma nigger noma Sana
 
Halafu like seriously a real man hanaga time ya kuzungumzia upuuzi et shoga kanitongoza, what happens in your PMs remain in your pm , we don’t need to know, sasa warumi mie nikisema ni expose kila mtu anayekuja kwa pm kutakalika? , mi na uchizi wangu wote Uwezi kukuta naongea upuuzi wowote uliopo kwa pm zangu, Niko na protocol Kali sana, brand yangu kubwa humu JF[emoji16], so I’m trying even harder to protect it, ni ushamba mtu anakuja kukutongoza pm halafu unayaleta huku Mxiee mbwa nyie.

Mimi hata uje na ahadi gani, I will never sleep na Mwanaume wa JF na sijawahi, mi ni malaya But I’m not cheap , hata mkijazana pm mnajisumbua tu , Mimi najielewa kuliko mnavyodhan[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama Kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,Kila siku tunasoma tu kwenye mitandao mambo ya usagaji na Ushoga katika kila jamii. Nina imani kama hali hii ipo lazima yamemkuta mwenzetu humu mmu labda kwa kutokewa au kuwa na uhusiano wa hali hiyo.

Kwa yeyote aliyewahi aje atupe ilivyokuwa alipotokewa kwa mara ya kwanza na kama alikubali au alikataa alikurana na changamoto zipi. Nianze na mimi mwenyewe nimewhi kusumbuliwa na boss wangu mmoja wa kiume kule mombasa nilikuwa kuwa field attachment, by then yule jamaa alikuwa front office manager, mtu wa mtaa mmoja unaitwa kibokoni, kwa wasafiri wengi wa mji wa mombasa huu ni mtaa wa mashoga wengi, nilipata wakati mgumu mpaka nikawa namkwepa mwisho nikaacha field attachment kwa sababu tofauti.

Alikuwa hana aibu nakumbuka kabla sijamjua tulienda wote nje usiku mmoja kula nyama choma na kuongea mawili matatu, wote tulikuwa hatunywi pombe lakini huyu jamaa alikuwa ameniambia atachelewa kwenda mjini ambapo ni kwake kwa hyo tukatoka na kwenda kupata nyama choma, nilikuwa na muhisi ana mwagiwa maji nikasema acha nijionee, kwa usiku ule akishindwa kunitamkia live lakini alikuwa anajilegeza.Nakumbuka nilimuuliza ulisema unataka tuongee usiku unazidi vipi?

Alinijibu vitu tofauti mwisho nika jiongeza na kumuuliza kwa kiingereza "Abdio samahani kama nitakukera naomba nikuulize kitu.. Akanijibu bila smahani kede,uliza tu.Nikamuuliza are you gay? Hakunijibu aliitikia kwa kichwa kama mtoto wa chekechea,nikajiskia vibaya sana.

Akafunguka mengi sana akaniambia niwe na siri na kadhalika nikamjibu kuwa nitampa jibu,kipindi hicho simu za mkononi kama zilikuwepo mimi sikuwa nayo it was in 1997/98.Usumbufu ulikuwa ule wa live.Huyu jamaa alikuwa shoga.

Bwana Abdio nakukumbuka sana sijui kama uko hai. Samahani mimi sio mwandishi mzuri.
97/98 duh kumbe kitambo hivyo, bado yunge mie 🤣 kibokoni hatari!
✌️
 
hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
✌️
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakojoaaa

Uko wap shoga angu tusagane nimekumic
 
I can smell something fishy
Story ya huyu jamaa niliwahi kuambiwa na mshikaj wangu mmoja mlinzi ktk hotel moja pale mwenge aisee sikuamini kama ni kweli ila nimeona hapa inabid niamini maana jamaa pia ni kama usoni ana jipaka mkorogo.
 
Back
Top Bottom