blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,138
- 5,632
Umeanza lini uchoyoo embu nipe hiyo connection watsap kuleTransgender mbna unawazungumzia mkuu? Au mie ndo sielewi?
Shemale najua anazaliwaa natural, ila transgender ndo wanaofanya surgery.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeanza lini uchoyoo embu nipe hiyo connection watsap kuleTransgender mbna unawazungumzia mkuu? Au mie ndo sielewi?
Shemale najua anazaliwaa natural, ila transgender ndo wanaofanya surgery.
HaKuna shemale wa kuzaliwaTransgender mbna unawazungumzia mkuu? Au mie ndo sielewi?
Shemale najua anazaliwaa natural, ila transgender ndo wanaofanya surgery.
Huyu mtu ni nani Kwan. Maana sura sio ngeni
Hebu wee mchepuko angu njoo kule tsup bas, nimekumiss mchagga angu, [emoji7][emoji7]Umeanza lini uchoyoo embu nipe hiyo connection watsap kule
Ouk ahsante kwaa maarifa, nashukuru kwa ufafanuzi muruaa.HaKuna shemale wa kuzaliwa
Kumbuka shemale( Tboy au trany) anakuwa anamuonekano wa kike na matiti lakin ana mbooo hakuna mtu anazaliwa hivo wale tboys unao wajua ni
surgery ambayo abadili mfum wa uzazi just anongez vitu vichache kama tities
lakini Transgender anabali adi viungo vya uzazi yaana complete to another gender,
Wanaozaliwa natural ni watu weny jinsia mbili na wenye hormones nyingi za jinsia nyingine
Tofautisha shemales na transgender
Ana connection 1 hatariiiih, [emoji23][emoji23][emoji23].Huyu mtu ni nani Kwan. Maana sura sio ngeni
Naomba unitumie Dm.Ana connection 1 hatariiiih, [emoji23][emoji23][emoji23].
Sahivi watu wanaumbuka tyuuh, unafiki haujawahi dumu Hata lol
[emoji23][emoji23][emoji23] huko insta hukuti, labda ingia site za gays, ndo utakuta hiyo connection in a trend hataree lol.Naomba unitumie Dm.
Au anatumia jina gan insta atafutwe.
Kumbe mnapenda sana eeeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oya mwenye iyo connection atupe basi
Eeeehh kama miamala imeongezwa bei tunaifuata ilipo na connection nazo tukose hapana kwa kweliKumbe mnapenda sana eeeeh? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣Wallahy umejua kunichekesha..hahahaaa umenikumbusha jamaa yangu alikuwa na kapikipiki kake akitoke kati ya mji, akaona sio kesi ngoja apitie pale kwa macheni, alipofika pale akaagiza bia zake mbili, akazikata fasta, ghafla akaja muhudumu na bia mbili zingine, akamwambia jamaa yako amekuagizia, mwana bila kujiuliza akapiga, ataka kumaliza, zikaja tena mbili, mmh, jamaa akauliza ni nani anakutuma akaambiwa jamaa yule pale, kidogo ukaja mchemsho, jamaa kichwa ikaanza kuchaji, akaona hapa lazma nimuone anayeniagizia, wakati anamaliza mchemsho sasa ndio likaja pandikizi la dume, na yeye ndio anainuka, kwanza akashikwa tako, dah jamaa akahamaki, akaambiwa tulia kijana, mambo madogo tu haya, usijali utazoea unaonekana we ni mpya mambo haya bado huna uzoefu nayo, usijali hata wenzako walikuwa wakali kama wewe, akashikwa tena tako, janaa ilimchomoka ngumi moja matata sana, yule bazazi chali, damu kibao, cha ajabu alipoinuka akamuagizia aletewe bia tatu, kwani kijana anaonekana sildi, mshikaji alivyosikia hivyo akaanza kukimbia huku akipiga kelele, na pikipiki akaisahau, alipofika maskani ndio akaja kuomba msaada turudi nae afuate pikipiki...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]Wallahy umejua kunichekesha..
Sipati picha wakati anakimbia huku anapiga kelele km kaona mzimu.
[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah weEeeehh kama miamala imeongezwa bei tunaifuata ilipo na connection nazo tukose hapana kwa kweli
Thubutuuuh.
Mie huo mda wa kuhaha na gume gume km hilo nautoa wapi?
Anawa record hao anao kutana nao na ndo type zake,
Mie nipo ndani ya ndoa, tena Pete kidoleni, mwanaume mwenye kujua kupenda na kuthamini, na anatambua nafas yake ndani ya ndoa, na anatekeleza ipasavyo, ana status na Elimu yake nzuri, si haba kazi na pesa zimo.
Nianze kuhangaika iweje? Nmetulia ndani ya ndoa mie.
Tamaa sahivi wanaume straight ndo wanazo, wanaingia Gayism industry wakijifanya TOP, wanakutan na versatile wanaishia kubanduana zamu zamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Nchi ina vituko hii khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23] kipi kimejulisha tafadhari?Leo ndio najua kama cocasticcn mmama[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] kipi kimejulisha tafadhari?
Km kigezo ni ndoa, hata wadada/wasichana wanaolewa.
Pia sahivi hadi mashoga nao wanaveshwa Pete na kuolewa.
Eeehh lete connection iyo[emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah we