Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of AprilImewahi kunikuta,sio Mara 1 au Mara 2.
Kwasasa Biashara ya Kukopeshana na wanawake naenda Nayo kwa tahadhali sana.
Jaribu uende umkope 3 M, akikupa ndio unakuwa umejilipa.. Cha ajabu anaweza akaanza kukudai kama atakupa hicho kiasiKuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April
Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu
Sijui akili zao zipoje?
😂😂😂 nmekutukana kimoyo moyoEbu acha hizo na mie nikopeshe laki nitarudisha mwisho wa mwezi
Kweli bwana nahitaji hiyo laki next weekdne nakurudishiaLaki
😂😂😂 nmekutukana kimoyo moyo
Sio kila mtu anawaza ngono kama wewe.Umri wako please,ukiombwa hela na demu iwe mkopo au msaada ujue anataka umchakate,tena alitaja kiwango elekezi kabisa cha bei ya kula mzigo
Siku nyingine ukiombwa hela na mwananke mwambie aje home kula mzigo mpe hela yake aliyoomba msijuane
Maskini,umekuwa mtu mbaya total😔 yaan mtu ukikosa uaminifu jua ushakuwa devilKukopesha sahivi ni ufala. Maana ata mi nikikopeshwa najua sitalipa.
Yaani unamkopesha mtu Million 3 au unamaanisha Mia 3?Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April
Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu
Sijui akili zao zipoje?
😳Afu utashangaa alikopa Kwa ajili ya birthday party yake🤦Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April
Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu
Sijui akili zao zipoje?
U not seriousKuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April
Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu
Sijui akili zao zipoje?
Njoo uchukueKweli bwana nahitaji hiyo laki next weekdne nakurudishia
Aya nakuja utakuwa umeokoa jahaziNjoo uchukue
Mkuu 3ml parefu kuiachia iende.Kuna dada mmoja workmate alikopa 3M. Alikuwa na shughuli yake flani ya muhimu ila bajeti ikawa haikai. Ilikuwa March akaahidi kulipa end of April
Hajalipa hadi leo. Sad thing is najua anapata hela tena zaidi ya M7 monthly ila kulipa deni inakuwa ngumu
Sijui akili zao zipoje?
Sasa mkuu si ushapewa hela yako, unataka upewe na mbususu? Kama kakukaushia na wewe balance shobo mikaisho kama sanamu maisha yanaendelea.Alikwama katika harakati zake za hapa na pale, hivyo akaniomba nimpatie elfu thelathini asogezee siku kisha kuahidi kunirudishia siku iliyofuata.
Siwezi kuiachia. Ni workmate na nina evidence. Ikibidi ntachukua drastic measures muda sio mrefu. Bado namvutia kasi kabla sijavunja bridgesMkuu 3ml parefu kuiachia iende.