Ngoja nitoe kisa kimoja, mi si mtu wa kujiombelesha ovyo kwa wanaume,, ila kuna mbaba mmoja alianza tabia za kunitongoza, kiustaarabu lakini nikachomoa,, hakuchoka akaendelea kuchombeza vijimaneno,, mara kila asbh anitumie picha za good morning na goodnight Yani gallery ikajaa picha zake za maua mauaπ
π
ikawa inanikera mnooo kumblock sikutaka maana mpk Sasa nimeshablock mbuzi nyingi sana,
Basi siku moja nikaamua kumuomba anikopeshe kiasi kidogo tu cha pesa hakukawia akaituma, Nilifanya hivyo ili badala ya kunitumia picha za maua na ujinga wake walau sasa atume text za kudai hela yake, baada ya muda km miezi 2 ndo kilichotokea akaanza kudai hela akaachana na maua,,mpk Sasa karibia mwaka sijamlipa na wala sitomlipa, walau najibu na sms zake za madai kuliko mautopolo aliyokuwa anatuma, mshamba kabisa yule, kila siku sms za kipuuzi halafu sijibu na hajishtukii anatuma tuuuuuuuu,, fyaaaaaaaa
Kwahiyo mara nyingine kujikopesha kwenu huwa Ni mbinu ya kuwafukuza mkafie huko na mlivyo na mavichwa mazito hamuelewi,,