Wanawake, hakikisheni kuwa sababu zenu za kumkataa mtu ni za msingi na za maana

Sasa huyu anaponda sura yake as if alilazimishwa kuwa nae. Kamtongoza mwenyewe halafu anakuja hapa kulalamika
 
Unaakili fupi sana kwamba mtu aje akuambie nililia kwa sababu ya mapenzi ni wachache sana wanaoweza kukuambia
Kwani huyu si analia kwasababu ya mapenzi au ulidhani analilia pipi? Wanaolialia hovyo tena hadharani ndo wana akili fupi.

Ukitendwa unajifungia unalia siku mbili au tatu baada ya wiki unatoka kama hakuna lilitokea maisha yanasonga.
 
Jichanganye umrudie atakufanya kiwanja cha ndege cha kutua na kupaa... Akiwa mawinguni tu unakuona cha mtemakuni 🀣🀣
 
Wewe mpuuzi bado unampenda huyo manzi ndo maana umefungua uzi wenye vibe la msiba. Nakushauri rudiana naye ila usisahau jamaa wa Subaru alikuwa anamtafuna huku demu akitoa kilio na kutukana maex zake wote ukiwemo wewe...
 
Muweke wazi aangalie maisha mengine tatizo lako humchani ukweli unampa hope za kurudiwa afu nyuma ya pazia unamdiss....
 
Kwanza unakaaje na mtoto wa mtu miaka minne hueleweki? Ilikuwa sawa akuache, ingawa si kwa njia hiyo. Wote hamfaani
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hivi kule dodoma hospitalini ulienda mara ngap..?
 
Mkuu wanawake hawaangalii fedha au mali bali wanaangalia kitomb0. Kama mwanamke humtombi sawasawa utampoteza siku sio nyingi mkuu.
 
Kaza moyo mkuu huo ndo uanaume ila hawa wanawake ni matakataka kasoro mama yako,

Tumia huo uchungu ulio nao kufanya maendeleo yako binafsi na kuzagamua nyapu za kila aina kwa uangalifu pasi na huruma yeyote mpaka uwang'oe wadada kizazi ila wakishika mimba watelekeze.

Nb: Sitakaa nitetee tena hawa mbayuwayu hata kidogo hawana utu kabisa
 
Chanzo cha dhambi ni MWANAMKE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…