Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

Afadhali na sisi kumbe kina kapuku wa fedha mnatusamini,sisi kazi yetu mtaji wa masikini tu
 
Duh,wanawake ndo mlivyo,huwa hamkosi sababu...ni vizur lakini
 
Napenda mwanaume mwenye sura ngumu ,na pia mfukon kuwe na mawe co awepo awepo tuu anajipodoa mpk nione kero
 
waambie mzee ni haki kweli?
Mambo mengine ni mashauzi tu
hamna anayependa uchafu ila kwa mwanaume ukioga fresh ukapaka na mafuta yasiyo na chemicals u maintain ngozi ya asili na kuvaa normal ama standard, kuna shida gan?
Lakin mtu weekend yote unasuguliwa uso ukitoka hapo mtu unamuonea had huruma,.atahamia kwenye nywele apake dawa sjui...atatoka hapo ataenda duka la pamba kali ...surual za kubanaaa na vi t shirt vidogooo ...weekend hana time na mwenza wake...yeye anarembesha sura na kununua minguo ...duh
 
hata mbuzi anato..
Kweli kabisa.. Lakini mbuzi anatomb..a mbuzi. Na ndio maana huangaiki kumuambia mbuzi mahitaji ya moyo wako.. Unaniambia mm ambaye Nina uwezo wa kutimiza hamu zako.. Na mm mwenye huo uwezo sitaki kusikia habari za ukiwa hivi nakupenda, ukiwa vile sikupendi.. Mm nakuweka sawa kitandani, wa kumpenda utapata mbele huko.
 
Ha ha haaaaaaa,wazee wa viduku,wavaa hereni na kujichubua inawahusu hii.
 
We waache wajipodoe tu sisi tunawamegea mademu zao kiaina.
 
Women don't come with instructions wallahi [emoji23][emoji23][emoji23]

A man can be all that but treats you wrong in every aspect, that's a turnoff point kwakweli

Ukishapitia mengi duniani humu, utajua tu kuwa vitu vingi sana doesn't matter, tunajiongelesha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…