watu wanaoooga utadhani wanalipwa bwanahahahahahahahahahaaaa miss naona umeamua kuwa team irene uwoya!! daaaahhh mbona ma handsome boy soko linaendelea kupungua hivi?
kila mwanamke ana preference zake, hii thread ungeandika kuwa ww unapenda wanaume wa type hii, sio kusema wanawake (ume generalize sana). and for the info. situmii carolight.endelea kupaka carolight!
your true darling ! tunaongea tu hapa na pale.ila mwisho wasiku tunaelimishanaWomen don't come with instructions wallahi [emoji23][emoji23][emoji23]
A man can be all that but treats you wrong in every aspect, that's a turnoff point kwakweli
Ukishapitia mengi duniani humu, utajua tu kuwa vitu vingi sana doesn't matter, tunajiongelesha tu
Itabidi ufanye majaribio yako kwa miss Natafuta mwenyewe.ebu subiri nivunge siku tatu bila kuoga alafu naenda kutongoza uku na smell kama beberu... naamini atanikubali tu! kwa mujibu wa Miss Natafuta
sijui mtu anavaa hivo ili iweje hivi unaulambaaa ili iwejeMwanaume ameumba kufanya kazi,kua mlinzi wa familia,mwanaumbe kukaza msuli mwanaume ni kuwamsafi kiaina ila isipitilize kwana utakuta wengine..mikono haina tofauti ya ya miss tz.msafi mpaka anakelaa
Akija kwangu nampa jembe au nyundo akafanye kazi ili ajitofautishe na mwanamke mlembo
Ndo maana siku hizi idadi ya mashoga imeongezeka kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na zama za nyerere na mwinyi..MWANAUME KAZI ndio mambo mengine yanafuate
Ila bora miss umeongea ukweli siku hizi wanaume wanapaka macream na kufanua scrub usoni mara cjui nywele kupaka mi rangi ...upuuzi tu mwanaume unatakiwa uwe simple nyoa kawaida ,vaa nguo inayokutosha siu inayo bana mpaka kalio linaonekana km la dem.wanaume wenzangu acheni hizo kun asiku mtavaa na madela.achaneni na mifasheni ya kipuuzi tutunze heshima ya ngosha
hahah! natumaini atapita hapa uyu miss natafutaItabidi ufanye majaribio yako kwa miss Natafuta mwenyewe.
Maana hawa viumbe unaambiwa siku zote wanaoenda vitu ambavyo havipo.
upo saluni gani?Hamnaga misimamo nyie wanawake leo umeamua kuwa bibi kabisa hizo ndo akili
mwanaume ananyoa ndevu kila saa si muache ndevu ziote jamani?Ila bora miss umeongea ukweli siku hizi wanaume wanapaka macream na kufanua scrub usoni mara cjui nywele kupaka mi rangi ...upuuzi tu mwanaume unatakiwa uwe simple nyoa kawaida ,vaa nguo inayokutosha siu inayo bana mpaka kalio linaonekana km la dem.wanaume wenzangu acheni hizo kun asiku mtavaa na madela.achaneni na mifasheni ya kipuuzi tutunze heshima ya ngosha
Kuna wanaume wanaboa sana wanajipodoa mpk mwanamke humfikii hao siwapend kabisamwanaume anaooga mpaka kero
umejua leo ?Tutasikia mengi utawala huu kumbe mpk harufu ya kwapa inawavutia?[emoji13] [emoji125] mm mbio
Wanafiki hair cutz saloonupo saluni gani?