Wanawake hawa wa "jf" ni mfano wa kuigwa...nawapenda sana

1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent

Jamani nawakubali sana girls

Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]

Kuna mmoja nashangaa umemuacha.. anaitwa geniveros
 
JF sasa hivi ni ngumu sana kuwaelewa member wake

Mods hamna acces ya kunisaidia nisione au kuniondolea kabisa hili jukwaa la MMU?

Wanawake hawaeleweki wanaume nao vile vile id za kike wanakuja nazo wanaume na za kiume wanakuja nazo za kike wtf!
Kama mie hivi,huelewi ni ME au KE
 
JF sasa hivi ni ngumu sana kuwaelewa member wake

Mods hamna acces ya kunisaidia nisione au kuniondolea kabisa hili jukwaa la MMU?

Wanawake hawaeleweki wanaume nao vile vile id za kike wanakuja nazo wanaume na za kiume wanakuja nazo za kike wtf!
Hahahah..... Mods wakubakizie lile jukwaa lako la kule chiniiii... mwisho??πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…