Inog01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,291
- 1,961
ID nyingine ni shida kutambua jinsiUsisahau kuongeza na hawa hapa katika list ya good girls.
*Irk
*Babra
*Ukhuty
*Atug
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ID nyingine ni shida kutambua jinsiUsisahau kuongeza na hawa hapa katika list ya good girls.
*Irk
*Babra
*Ukhuty
*Atug
1.sky elcat
2.miss chagga
3.miss natafuta
4.feitty
5.scorpio me
6.Nifah
7.cute b
8.heaven sent
Jamani nawakubali sana girls
Ilaa kuna huyu hapa
1.Monicca
Simuelewagi
Sijui kala maharage ya wapi huyuuuu[emoji38]
mbona mimi siko hapo😛😛😛😛😛Ongeza katika list
*Evely salt
*jje's
*Diva beyonce
*_Aysher
*Jimena
*Heaven on earth
*Joanah
*Geniveros
*Shunie
*Atoto
[emoji23][emoji23][emoji23]Lazima uwepo,wewe umelianzisha yeye akalimaliza,lazima nikusemelee kwa miss chagga akutwange ya mbavu
Kama mie hivi,huelewi ni ME au KEJF sasa hivi ni ngumu sana kuwaelewa member wake
Mods hamna acces ya kunisaidia nisione au kuniondolea kabisa hili jukwaa la MMU?
Wanawake hawaeleweki wanaume nao vile vile id za kike wanakuja nazo wanaume na za kiume wanakuja nazo za kike wtf!
Mkuu hiyo avator yako jamaa anakula nini? anaingata huku akivuta hisia za papuchi walaiKama mie hivi,huelewi ni ME au KE
Huyu ni mkeo toka lini?Cc scorpio me njoo mke wangu umetajwa humu! Kuna mtu anakukubali sana!
Hahahah! Mkuu,ukifanikiwa kumshawishi ujue umevunja ndoa yangu!Huyu ni mkeo toka lini?
Wakati mm nawekana naye sawa huku pm.. Tulizana bro .
Mbona hajakutaja sasa?Hahahah! Mkuu,ukifanikiwa kumshawishi ujue umevunja ndoa yangu!
Hahahah..... Mods wakubakizie lile jukwaa lako la kule chiniiii... mwisho??😀😛😉JF sasa hivi ni ngumu sana kuwaelewa member wake
Mods hamna acces ya kunisaidia nisione au kuniondolea kabisa hili jukwaa la MMU?
Wanawake hawaeleweki wanaume nao vile vile id za kike wanakuja nazo wanaume na za kiume wanakuja nazo za kike wtf!
Hee hhhMbona hajakutaja sasa?
Ninpm namba yako nikuweke mtoto mzurmbona mimi siko hapo😛😛😛😛😛
Afu nimekumis mrembo wangu. Kwema? Ushapata lunch?Hee hhh
Aisee we jamaa huridhiki mkuu wangu?Ninpm namba yako nikuweke mtoto mzur
Bado bbyAfu nimekumis mrembo wangu. Kwema? Ushapata lunch?
nimemuona hata me namkubali aseeee....Cc scorpio me njoo mke wangu umetajwa humu! Kuna mtu anakukubali sana!
Sema unataka kwenda wapi leo unaata offerBado bby
Ni pm.....Sema unataka kwenda wapi leo unaata offer
haha asee wote mnioe sasa...Huyu ni mkeo toka lini?
Wakati mm nawekana naye sawa huku pm.. Tulizana bro .