Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Wakuu,
Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.
Shida yenu ni nini kwani? Nani kawaambia wanawake wanavaa kwaajili yenu, au wanajipamba kwaajili yenu? Yaani mnawashwa na nini yaani mwanamke akiwa na kucha ndefu, au akivaa wigi, au akipiga min yake fresh, nk?
Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?
Au nasema uongo JF ladies?
Comments ziwe fupi fupi jamani