Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Mwanamke wa kucha ndefu, chupi zake zote zimefubaa hatari, coz huloweka tu na hazifui, zinanuka uvundo hatari..Wakuu,
Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.
Shida yenu ni nini kwani? Nani kawaambia wanawake wanavaa kwaajili yenu, au wanajipamba kwaajili yenu? Yaani mnawashwa na nini yaani mwanamke akiwa na kucha ndefu, au akivaa wigi, au akipiga min yake fresh, nk?
Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?
Au nasema uongo JF ladies?
Comments ziwe fupi fupi jamani![]()
![]()
![]()
Kucha ndefu na mbususu ni madui, aise mbususu hutoa harufu kali zaidi zaidi ya feri. Mbaya zaidi pisi kali imejipiga lipstick domo linatena utadhani salender bridge bana dah, ni balaa..
Pisi kali mweusi, chupi nyeusi ni ufugaji wa uchafu ladies,tafadhali sana inatia kichefuchefu, alaaa....
vile vile,
demu mkali, kavaa miniskirt nyeusi na chupi nyeusi ni ishara ya wazi huko ndani ni tope lenye harufu kali.
Ooh please ladies,
you are killing men silently, jisafisheni nyuchi bana na mfrerji wa equator unatoa harufu mbaya sana.
japo kwa baltasary haikua isue 🐒
