Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sihitaji msaada wowote, mimi najitosheleza. Naweza kukusaidia wewe na bwana ako asiekua na sauti ya kukukataza kuvaa nguo zisizokua na staha.Mkuu katafute msaada, yule aliyekuumiza amekupa bonge ya trauma... nilikuwa nasubiri mapoint kibao kumbe mtupu tuu, umejaa makasiriko na maumivu makali... labda ukitibu hiko kidonda kichwa hiko kitaanza kutoa madini.... vinginevyo utaendelea kutukana tu, wazidi kukujaza ujinga uharibikiwe.... find help Mkuu
😀Tulia mkuu, tunaenda kimya kimya bila picha 🌚 🌚
Mum, mbona ni simple tu, kama hutaki kuongozwa unakuwa single tu maisha yako yote. Hakuna atakayekupangia.Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?
Yah muhimu babe Akitia neno kabla sijaToka😍Sasa mtu hadi anataka kuvaa uchi kabisa lengo ni nini??
Dada kama wewe huwa unapendeza kwa ajili yako mwenyewe ni wewe
Ila wengine wanapendeza kwa ajili yetu au uongo sweery ??
Akitia neno nikitia neno ??🤔🤔🤔Yah muhimu babe Akitia neno kabla sijaToka😍
😂😂😂usimaanishe babeAkitia neno nikitia neno ??🤔🤔🤔
Mmmmh tayari 😭😭😭 duuh😂😂😂usimaanishe babe
Hahahahaha😂😂😂😂😘Mmmmh tayari 😭😭😭 duuh
Nihakikishie babe 😍Hahahahaha😂😂😂😂😘
😂😂🤣😂😂Njoo nikupeeNihakikishie babe 😍
Poor you, kwa hizi akili zako.Buhahahaaa, mfalme unatawala kipi? According to who?![]()
Ni kuwashwa washwa tu... kope ziko kwamwingine halafu zinakutekenya wewe.... embu lete point ya maana bana, unaniangusha kwa hizi low capital na forced labor
![]()
Again, poor you!![]()
![]()
comment yako inaonesha who is 'poor' kati yetu
rudi kwenye mada basi Mkuu
![]()