Wanawake hawajali wanaume wanavaa nini, wanaume kutwa kuwapangia wanawake muonekano wao, mnawashwa nini?

Wanawake hawajali wanaume wanavaa nini, wanaume kutwa kuwapangia wanawake muonekano wao, mnawashwa nini?

hayo makucha bandia mnakuwa kama majini, tusiwaambie? mbo mkichora tatoo kwenye nonino hamzisitiri kwenye taiti zenu mnafanya kila namna zionekane ili tuwasifie kama nzuri, hapa dada utaruka ruka ila kiukweli huwa mnapaka hayo ya kupaka mpate attention, Kama unafikri uongo vaa itakavyo au jipule utakavyo halafu Asiwepo mwanaume hata mmoja kugeuka ndio utaelewa, kama haujatafuta choo chenye kioo ukiangalia vizuri una kasoro gani
 
Hapo mwanzo Mungu alimuumba Adamu, baadae Mungu akaona sio vema Adamu awe pekeake. Akampatia msaidizi kutoka katika ubavu wake wa kushoto awe tulizo lake la moyo baada ya uchovu wa kazi za kule bustanini

Sasa huyu msaidizi asipokuwa wa kuvutia kwa kujipamba kwa vito vya thamani nitampendaje?
Kwahiyo hapo ndio umeambiwa udectate muonekano wake Mkuu?
 
hayo makucha bandia mnakuwa kama majini, tusiwaambie? mbo mkichora tatoo kwenye nonino hamzisitiri kwenye taiti zenu mnafanya kila namna zionekane ili tuwasifie kama nzuri, hapa dada utaruka ruka ila kiukweli huwa mnapaka hayo ya kupaka mpate attention, Kama unafikri uongo vaa itakavyo au jipule utakavyo halafu Asiwepo mwanaume hata mmoja kugeuka ndio utaelewa, kama haujatafuta choo chenye kioo ukiangalia vizuri una kasoro gani
Ni wewe na mahangaiko kuangalia visokuhusu:KEKLaugh::KEKLaugh:... kwahiyo nikiwa na kucha ndefu basi ndio tiketi ya kuwa kipaza sauti? Zipo mwilini mwako? Swali linabaki pale pale, unawashwa na nini?
 
Ni wewe na mahangaiko kuangalia visokuhusu:KEKLaugh::KEKLaugh:... kwahiyo nikiwa na kucha ndefu basi ndio tiketi ya kuwa kipaza sauti? Zipo mwilini mwako? Swali linabaki pale pale, unawashwa na nini?
mnakera machoni sasa, ndio tatizo linapoanzia mnataka tutembee tumefumba macho mkuu?
 
Wakuu,

Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.

Shida yenu ni nini kwani? Nani kawaambia wanawake wanavaa kwaajili yenu, au wanajipamba kwaajili yenu? Yaani mnawashwa na nini yaani mwanamke akiwa na kucha ndefu, au akivaa wigi, au akipiga min yake fresh, nk?

Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?

Au nasema uongo JF ladies?

Comments ziwe fupi fupi jamani :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Mbona unatukosea heshima lini mwanaume akawashwa??? Huna heshima 🐼🐼🐼
 
Attractive versus impression.

MTU akiwa na MVUTO anaweza kutosuka wala kuvaa expensive garments Ila bado akawa anawindwa Kama mpira wa kona.

Unfortunately ile magnetism imepungua in this era.
Utapataje magnetism ilhali Kila ukitokeza tu barabarani unaona maumbile hadi uchi wa mwanamke!!. Halafu ukute ke mwenyewe kavimbiana ova puto la michellin 😆

Maake magnetism inasababishwa na hamu ya kutaka kuona maumbile & uchi wa mwanamke ambaye ameusitiri mwili wake wa asili sio hii wanayofake fake kwa kununua na kujiongezea baadhi ya viungo
 
Unaandika ukiongozwa na hisia, kesho ukiamka emotions will be gone utatamani uufute huu uzi haitawezekana.
Huu uliondika ni upuuzi, ujinga na pengine huu uzi umgefutwa kabisa.
Poor you!
Unatoa moshi ukiwa wapi Mkuu? :BearLaugh: :BearLaugh: Haya tuambie kwanini upo kwa kundi linalodictate mavazi ya wanawake:KEKLaugh::KEKLaugh:
 
Mkivaaa hayo makitu sio kwamba mnakula mnatuvutia lahasha, huwa tunashtuka tunahisi kama tumekutana na mwanasesele ndioo maana tunayapiga vita..
Kope
Mawigi
Makucha mikono yote
Mkuu bana, kwani amekuvalia wewe? Unapita kushoto tu na mshtuko wako, kama sisi tunavyopita kushoto na baadhi ya mavazi yenu na mitindo yenu ya nywele
 
Utapataje magnetism ilhali Kila ukitokeza tu barabarani unaona maumbile hadi uchi wa mwanamke!!. Halafu ukute ke mwenyewe kavimbiana ova puto la michellin 😆

Maake magnetism inasababishwa na hamu ya kutaka kuona maumbile & uchi wa mwanamke
Mkuu unafunyua hadi unaona uchi?🤣🤣 Acha kupiga chabo
 
Back
Top Bottom