Wanawake hawajali wanaume wanavaa nini, wanaume kutwa kuwapangia wanawake muonekano wao, mnawashwa nini?

Mwanaume ni mfalme, na mfalume hapangiwi.
Anapanga anachokitaka, kama hakinivutii kwanini nisikupangie? Uweke mapaja nje nani ayaon̈e?
Yaani uweke makope ya bandia, Nywele za bandia, kucha za bandia, ngozi ujichubue sasa si bora nioe roboti za elon musk.
Kaa natural nifaidi uumbaji wa Mungu.
Buhahahaaa, mfalme unatawala kipi? According to who? :BearLaugh: :BearLaugh: Ni kuwashwa washwa tu... kope ziko kwamwingine halafu zinakutekenya wewe.... embu lete point ya maana bana, unaniangusha kwa hizi low capital na forced labor:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
 
Wakuu,

Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.

Shida yenu ni nini kwani? Nani kawaambia wanawake wanavaa kwaajili yenu, au wanajipamba kwaajili yenu? Yaani mnawashwa na nini yaani mwanamke akiwa na kucha ndefu, au akivaa wigi, au akipiga min yake fresh, nk?

Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?

Au nasema uongo JF ladies?

Comments ziwe fupi fupi jamani :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
Dada we rudi tu kwenye mada za siasa
Huku hupawezi 👋👋👋👋 :AYOOO:
 
Sasa mtu hadi anataka kuvaa uchi kabisa lengo ni nini??

Dada kama wewe huwa unapendeza kwa ajili yako mwenyewe ni wewe
Ila wengine wanapendeza kwa ajili yetu au uongo sweery ??
 
Naona nimewashika pabaya.... kwani mada haieleweki au? :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: kwenye suala la uchafu ukilinganisha wanaume na wanawake tunajua nani anashika bendera, usitake tusogee huko. Haya rudi kwenye mada chaap
la muhimu zaidi kabla ya yote muwe mnajali usafi wa mwili ladies...

haina maana unavaa nguo nzuri kufunika na kuficha uchafu wenye harufu mbaya ndrani, hiyo ni completely useless.

mavazi nadhifu yaambatane na usafi wa wa kina wa mwili.

By the way,
sina hakika na mwanaume anaebabaika na mavazi ya mwanamke. Heshma ndio jambo la maana zaidi my Lady 🐒
 
Una maana from no where mwanaume anakufata anakwambia vaa hivi ama vile, usivae hiki vaa kile??

Kama analipia muache akuamoie moaka utapoanza kulipa wewe.
 
Wakuu,

Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.

Shida yenu ni nini kwani? Nani kawaambia wanawake wanavaa kwaajili yenu, au wanajipamba kwaajili yenu? Yaani mnawashwa na nini yaani mwanamke akiwa na kucha ndefu, au akivaa wigi, au akipiga min yake fresh, nk?

Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?

Au nasema uongo JF ladies?

Comments ziwe fupi fupi jamani :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh:
kwasababu wanaume sisi n vichwa.
 
:BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh: Natafuta Ajira unatia aibu hata kukujibu:BearLaugh::BearLaugh: Umefikiria mwenyewe and this is the best you could come up with? Nakojoaaaaa (in Mange's voice) :BearLaugh: :KEKLaugh: :KEKLaugh: haya matusi yanaonesha ulivyokuwa mtupu akilini, afu na hela utakuwa hauna ukakutana na binti high maintance akakunyoosha:BearLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: ukirudi kwenye mjadala tutaona kama kuna kitu huko kichwani kinachofaa kujibiwa.

Umechemsha mpaka ukaenda kuanzisha nyuzi ya makasiriko..... huyo aliyekunyoosha aagize wine ntaenda kulipa:KEKLaugh::BearLaugh:
 
Huo ndio ukweli wewe ukionyesha maungo yako hadharani haumkomoi yoyote, wanaume watafurahi kuona sehemu zako nyeti lakini huo ujinga hawawezi kuruhusu ufanywe na wake au mabinti zao
 
Mwanaume ni KIONGOZI na MTAWALA.
Je uliyenaye ni mwanaume au mvulana?
 
Huo ndio ukweli wewe ukionyesha maungo yako hadharani haumkomoi yoyote, wanaume watafurahi kuona sehemu zako nyeti lakini huo ujinga hawawezi kuruhusu ufanywe na wake au mabinti zao
:BearLaugh::BearLaugh::KEKWlaugh: Mkuu katafute msaada, yule aliyekuumiza amekupa bonge ya trauma... nilikuwa nasubiri mapoint kibao kumbe mtupu tuu, umejaa makasiriko na maumivu makali... labda ukitibu hiko kidonda kichwa hiko kitaanza kutoa madini.... vinginevyo utaendelea kutukana tu, wazidi kukujaza ujinga uharibikiwe.... find help Mkuu
 
Back
Top Bottom