🤣🤣🤣🤣atanikagua bimkubw
Buhahahaaa, mfalme unatawala kipi? According to who?Mwanaume ni mfalme, na mfalume hapangiwi.
Anapanga anachokitaka, kama hakinivutii kwanini nisikupangie? Uweke mapaja nje nani ayaon̈e?
Yaani uweke makope ya bandia, Nywele za bandia, kucha za bandia, ngozi ujichubue sasa si bora nioe roboti za elon musk.
Kaa natural nifaidi uumbaji wa Mungu.
Niko mwenyewe hapa,fika haraka tafadhali sipendi uharibikiwe.🤣🤣🤣🤣atanikagua bimkubw
Si yupo nawe hapo
Dada we rudi tu kwenye mada za siasaWakuu,
Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.
Shida yenu ni nini kwani? Nani kawaambia wanawake wanavaa kwaajili yenu, au wanajipamba kwaajili yenu? Yaani mnawashwa na nini yaani mwanamke akiwa na kucha ndefu, au akivaa wigi, au akipiga min yake fresh, nk?
Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?
Au nasema uongo JF ladies?
Comments ziwe fupi fupi jamani
Tuanze na wewe mkuu, we unavaa na kujiremba kwa ajili ya naniWacha tupashe, kila jukwaa linamfaa kila mtu, haya rudi kwenye mada Mkuu 🌚 🌚
Kw akilinya kawaida demu anapendeza ili apate attention toka kwa wanaume😅😅Ndio unavyojipaga moyo hivyo kila ukiona mdada kapendeza?
🤣🤣🤣🤣🤣sitakiNiko mwenyewe hapa,fika haraka tafadhali sipendi uharibikiwe.
la muhimu zaidi kabla ya yote muwe mnajali usafi wa mwili ladies...Naona nimewashika pabaya.... kwani mada haieleweki au?kwenye suala la uchafu ukilinganisha wanaume na wanawake tunajua nani anashika bendera, usitake tusogee huko. Haya rudi kwenye mada chaap
kwasababu wanaume sisi n vichwa.Wakuu,
Kusema kweli wanawake huwa hatujali kabisa kuhusu mavazi wala mitindo ya nywele za wanaume, lakini wanaume sasa kutwa kuchwa mara makeup za wanawake zimefanya nini, sijui kucha zimefanya nini, mara makeup, mara nguo sijui zimefanya nini yaani ili mradi tu.
Shida yenu ni nini kwani? Nani kawaambia wanawake wanavaa kwaajili yenu, au wanajipamba kwaajili yenu? Yaani mnawashwa na nini yaani mwanamke akiwa na kucha ndefu, au akivaa wigi, au akipiga min yake fresh, nk?
Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?
Au nasema uongo JF ladies?
Comments ziwe fupi fupi jamani
Huo ndio ukweli wewe ukionyesha maungo yako hadharani haumkomoi yoyote, wanaume watafurahi kuona sehemu zako nyeti lakini huo ujinga hawawezi kuruhusu ufanywe na wake au mabinti zaoNatafuta Ajira unatia aibu hata kukujibu Umefikiria mwenyewe and this is the best you could come up with? Nakojoaaaaa (in Mange's voice) haya matusi yanaonesha ulivyokuwa mtupu akilini, afu na hela utakuwa hauna ukakutana na binti high maintance akakunyoosha ukirudi kwenye mjadala tutaona kama kuna kitu huko kichwani kinachofaa kujibiwa.
Umechemsha mpaka ukaenda kuanzisha nyuzi ya makasiriko..... huyo aliyekunyoosha aagize wine ntaenda kulipa
Huo ndio ukweli wewe ukionyesha maungo yako hadharani haumkomoi yoyote, wanaume watafurahi kuona sehemu zako nyeti lakini huo ujinga hawawezi kuruhusu ufanywe na wake au mabinti zao