Sihitaji msaada wowote, mimi najitosheleza. Naweza kukusaidia wewe na bwana ako asiekua na sauti ya kukukataza kuvaa nguo zisizokua na staha.Mkuu katafute msaada, yule aliyekuumiza amekupa bonge ya trauma... nilikuwa nasubiri mapoint kibao kumbe mtupu tuu, umejaa makasiriko na maumivu makali... labda ukitibu hiko kidonda kichwa hiko kitaanza kutoa madini.... vinginevyo utaendelea kutukana tu, wazidi kukujaza ujinga uharibikiwe.... find help Mkuu
πTulia mkuu, tunaenda kimya kimya bila picha π π
Mum, mbona ni simple tu, kama hutaki kuongozwa unakuwa single tu maisha yako yote. Hakuna atakayekupangia.Mwanaume anapenda nywele za hivi, mwanaume anapena uvae hivi, mwanaume anapenda usuke hivi, mwaume anapenda sura natural hawapendi makeup alaaaaah sasa si uweke hivyo vitu unavyopenda mwilini mwako, makasiriko yanatoka wapi kuja kuamrisha wengine wawe vile unataka?
Yah muhimu babe Akitia neno kabla sijaTokaπSasa mtu hadi anataka kuvaa uchi kabisa lengo ni nini??
Dada kama wewe huwa unapendeza kwa ajili yako mwenyewe ni wewe
Ila wengine wanapendeza kwa ajili yetu au uongo sweery ??
Akitia neno nikitia neno ??π€π€π€Yah muhimu babe Akitia neno kabla sijaTokaπ
πππusimaanishe babeAkitia neno nikitia neno ??π€π€π€
Mmmmh tayari πππ duuhπππusimaanishe babe
HahahahahaπππππMmmmh tayari πππ duuh
Nihakikishie babe πHahahahahaπππππ
πππ€£ππNjoo nikupeeNihakikishie babe π
Poor you, kwa hizi akili zako.Buhahahaaa, mfalme unatawala kipi? According to who?Ni kuwashwa washwa tu... kope ziko kwamwingine halafu zinakutekenya wewe.... embu lete point ya maana bana, unaniangusha kwa hizi low capital na forced labor
Again, poor you!comment yako inaonesha who is 'poor' kati yetu rudi kwenye mada basi Mkuu