Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

Mapenzi hayakuumbiwa kila mtu, Kama vipi achana nayo tafuta ishu ya kufanya.
Nenda hata huko mikoani ukalime maharage.
 
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.

Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male + female).

Mie nchi hii wanawake ndio wameamua kunikataa kabisa najaribu ku approach wanawake l ambao wanaonekana kabisa wako tayari kunidate lakini wapi, aisee huu ni mkosi!

Inafikia hadi natumia pesa kuwapata lakini tutadate siku mbili tu halafu haijulikani tumeachanaje.

Ahsanteni, naomba kuwasiliana uzi huu niendelee na Mfungo wa Ramadan.
Kijana hela tu.....pia muonekano jiweke msafi kidogo
 
Back
Top Bottom