Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

Unajua pepo ipo na kila mtu anajua afanye Nini Ili aingie peponi, lakini Cha kushangaza ni wachache tu ndio hufanikiwa, Mimi pia mademu hawanitaki, lakini Mimi ninachukulia tofauti na wewe, Mimi hunichukulia Mimi ndio pepo na wanawake ni waumini ambao wanataka waingie peponi, kwa hiyo wale wote wasionitaka huchukulia ni kama waumini waliokosa nafasi ya kuingia peponi, kwa Nini unipe stress na viumbe hawa pasua kichwa, fanya maisha yako
 
Wanawake hawapatani na mtu abaejifanya kidume sana na kujiona eti una ubora kuliko wao.

Pia hawapendi mtu anaejisifu "mimi hivi, mimi vile". Kua "humble".

Wacha mwanamke aamini kua yeye ndio boss na wewe inapaswa uamini kua mwanamke ndie boss, sio wewe.
 
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.

Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male + female).

Mie nchi hii wanawake ndio wameamua kunikataa kabisa najaribu ku approach wanawake l ambao wanaonekana kabisa wako tayari kunidate lakini wapi, aisee huu ni mkosi!

Inafikia hadi natumia pesa kuwapata lakini tutadate siku mbili tu halafu haijulikani tumeachanaje.

Ahsanteni, naomba kuwasiliana uzi huu niendelee na Mfungo wa Ramadan.
Ikifikaga umri wa kuowa hawa viumbe Wanakuaga hadmu Sana ni kawada na hata ukidate mkigombana kidogo mnaachana tatizo ilo ni tatizo la kiroho obviously linatibika ukienda kanisan au kwenye nguvu za Giza, lakin ukiona unatafuta wa kudate unakosa tatizo ilo ni kubwa Sana maana yake inabid utumie nguvu za giza Tu ndo only option itakayokusaidia
 
Hadi kufikia Siku ya Jana, bei ya roboti la kike lirembo la Bwana Elon Musk lilikuwa linauzwa dollar 1,500 tu

Kwa hela za madafu ni shilingi milioni 3.7 tu

Fanya kulichukua hilo udumu nalo hadi Uzeeni [emoji847]
Naskia yanakula umeme sana, Fridge,AC na Heater havioni ndani, Sasa Mwanetu ataweza kugharamia LUKU

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
 
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.

Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male + female).

Mie nchi hii wanawake ndio wameamua kunikataa kabisa najaribu ku approach wanawake l ambao wanaonekana kabisa wako tayari kunidate lakini wapi, aisee huu ni mkosi!

Inafikia hadi natumia pesa kuwapata lakini tutadate siku mbili tu halafu haijulikani tumeachanaje.

Ahsanteni, naomba kuwasiliana uzi huu niendelee na Mfungo wa Ramadan.
Acha unyonge wewe,atakudekea ili kuimarisha nafasi yake ya ushawishi/nguvu kwako,ila hao hao baada ya kipindi kifupi cha kupotezea bila kupata unyonge ama bila kukata tamaa wanaanza kufurika kwako kama mafuriko😁.komaa jamaa angu akizungua potezea kwa muda ila kama umeelewa kitu yenyewe rudia kurusha ndoano hata mara kumi,utakuja kunishukuru siku moyaa🤣
 
Naskia yanakula umeme sana, Fridge,AC na Heater havioni ndani, Sasa Mwanetu ataweza kugharamia LUKU

Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Uzuri wa hayo maroboti hayahitaji Peruvian hair kwaajili ya Pasaka Wala Eid

Hayanywi Savannah Wala flying fish 🤗

Hayamezi P2 Wala Kuchoma sindano ya kuzuia mashuti

Ila nina wasiwasi yatakuwa Yana Kei ya baridi na hakuna kuchuma Mchicha only missionary position tu😜
 
Kaka Kwa Story Nazopewa na Washkaji Zangu Kupendwa na Kudekezwa Inaonekana Dhahiri ni Raha Sana ila Robot Haliwezi Kufanya Hivyo...!! Hii Mada sio Kwamba Nakosa Kudinya ila Love Kama Nayoona kwa Washkaji Hio Mie Sijawai Kuipata Tokea Nizaliwe
Lile robot linakupa service zote Mkuu kasoro kupikia Kuni tu ndiyo haliwezi 😜
 
Uzuri wa hayo maroboti hayahitaji Peruvian hair kwaajili ya Pasaka Wala Eid

Hayanywi Savannah Wala flying fish 🤗

Hayamezi P2 Wala Kuchoma sindano ya kuzuia mashuti

Ila nina wasiwasi yatakuwa Yana Kei ya baridi na hakuna kuchuma Mchicha only missionary position tu😜
Hujayasoma yalivyo. Yanahitaji maintanance kama kawaida, tena inaweza kua ya gharama kuliko unavyofikiria.

Kwanza wewe huna uwezo wa kuyanunua, wacha kuyatunza. Ikiwa mke wa Kitanzania anakushinda, ma-robot ya mabilionea kama Elon Musk yasahau, huna uwezo nayo.

Endelea kula na kubadilisha staili za ngunga tu.
 
Hakuna binadamu anayekosa mtu, labda tu hujajua watu wako ni akina nani.
 
Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani.

Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male + female).

Mie nchi hii wanawake ndio wameamua kunikataa kabisa najaribu ku approach wanawake l ambao wanaonekana kabisa wako tayari kunidate lakini wapi, aisee huu ni mkosi!

Inafikia hadi natumia pesa kuwapata lakini tutadate siku mbili tu halafu haijulikani tumeachanaje.

Ahsanteni, naomba kuwasiliana uzi huu niendelee na Mfungo wa Ramadan.
sasa ni vigumu kukushauri kitu kwani hujatupa full story yako:
1.je una kazi au upo upo tu
2.umri wako
3.unaweza sex vizuri au una dosari?
4.je una kibamia?
5.una kiungo chochote cha mwili ambacho hakipo sawa
sasa jibu hayo tukusaidie
 
Hujayasoma yalivyo. Yanahitaji maintanance kama kawaida, tena inaweza kua ya gharama kuliko unavyofikiria.

Kwanza wewe huna uwezo wa kuyanunua, wacha kuyatunza. Ikiwa mke wa Kitanzania anakushinda, ma-robot ya mabilionea kama Elon Musk yasahau, huna uwezo nayo.

Endelea kula na kubadilisha staili za ngunga tu.
Hahahaha....... kwahiyo unashauri tuendelee na akina Mwajuma Ndala ndefu sio 😜🙌
 
Angalia kama kuna mwanamke alikupenda sana na wewe hukumpenda case Yako itaanzia hapo...
 
sasa ni vigumu kukushauri kitu kwani hujatupa full story yako:
1.je una kazi au upo upo tu
2.umri wako
3.unaweza sex vizuri au una dosari?
4.je una kibamia?
5.una kiungo chochote cha mwili ambacho hakipo sawa
sasa jibu hayo tukusaidie
Kaka Kwa Ufupi Sana Pisi Nyingi Hunisifia Mie ni Hb Kiumaumbile Niko Vizuri...!! Mtu wa Yoga Sana...!! Kwenye Kudinya Kuna Bebe Moja Nlioteaga Ikaniambia Mie Ni Mtamu Sana Aiseee
 
Hahahaha....... kwahiyo unashauri tuendelee na akina Mwajuma Ndala ndefu sio 😜🙌
Mpaka leo tunapanda daladala, Robot la Musk bei yake ni zaidi ya vigari vyetu vya mitumba ya kijapani.
 
Back
Top Bottom