Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

Comrade, uamuzi ni wako. Ni lazima kwanza ufanikiwe kuwa mpendwa. Kupendwa hakuishii kwenye mwonekano tu.

Ova
Kama Kuna Dawa Nambie Nitafute Ning'arishe Nyota Yangu Nakua Lonely Sana Napo Ona Wenzangu Wanapedana na Bebe Zao
 
Muongezee tena bimkubwa achana na wanawake wa siku hizi wengi ni malaya.

Mwanamke hana faida yoyote kwako zaidi ya vizinga na kuja kulikojolea shuka lako wakati wa mnyanduano
Inshaallah Mungu Akiongeza Nitaongeza Kwa Mama Angu Kip
Unapewa mechi ndani ya siku mbili?
Kama upewi mechi tafuta mnyonge utoe hilo gundu ulioachiwa na wa mwisho kukutana nae kimwili.
Hata Hizo Mechi Napataga Sasa...!! Ukipanga Meeting Pisi Haitokei Zitaletwa Sababu za Hovyo au Pengine Ndo Mnakua Mshaachana Hivyo
 
Hadi kufikia Siku ya Jana, bei ya roboti la kike lirembo la Bwana Elon Musk lilikuwa linauzwa dollar 1,500 tu

Kwa hela za madafu ni shilingi milioni 3.7 tu

Fanya kulichukua hilo udumu nalo hadi Uzeeni 🤗
Kaka Kwa Story Nazopewa na Washkaji Zangu Kupendwa na Kudekezwa Inaonekana Dhahiri ni Raha Sana ila Robot Haliwezi Kufanya Hivyo...!! Hii Mada sio Kwamba Nakosa Kudinya ila Love Kama Nayoona kwa Washkaji Hio Mie Sijawai Kuipata Tokea Nizaliwe
 
Usije
 

Attachments

  • 20240321_130339.jpg
    20240321_130339.jpg
    731.2 KB · Views: 3
Wewe unakaa na hela zako kwenye wallet unafikiri Ni mwanamke gani atakua tayari kua na mwanamme bahili?
Wanawake wanataka kukirimiwa, kuvaa nguo nzuri, kula vyakula vizuri, kunywa vitu laini. Kujipodoa na simu nzuri.
Wewe una Tecno ya mwaka 2014 huku umeifunga kwa rubber band, unakunywa pombe za Bei Chee, unaongea ovyo inategemea upate mrembo?
 
Back
Top Bottom