Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

😀😀
Kuna wenye Akili ya Pesa.
Alafu kuna wenye Akili za mahusiano.
Kazi ipo
Hebu shuka kidogo "mwanasaikolojia" utuchambulie dalili za makundi haya haya matatu: 1. Wenye akili za pesa halafu hawana akili ya mahusiano, 2. Wenye akili ya mahusiano lakini hawana akili ya pesa, 3. Wenye akili ya pesa na akili ya mahusiano.
 
🤣🤣😅 Acheni hizo basi baby zetu
Ndivyo tulivyo tumeumbwa hivyo 😀😀😀

Kuna vitu tunavimaliza kiume bila nyie kujua kwa sababu tunajua huwa mnaongozwa na hisia sana

Labda nikupe mfano rahisi ninaweza nikamsaidia ndugu au rafiki kifedha bila kukuambia au kukushirikisha
 
Ndivyo tulivyo tumeumbwa hivyo 😀😀😀

Kuna vitu tunavimaliza kiume bila nyie kujua kwa sababu tunajua huwa mnaongozwa na hisia sana

Labda nikupe mfano rahisi ninaweza nikamsaidia ndugu au rafiki kifedha bila kukuambia au kukushirikisha
Na Bora mfiche hivyohivyo.😅😅😅
 
Nasikitika Sana kwako maana umejitolea kupelekeshwa na wanawake.Kwa staili hii maanake Mwanamke wako atafanya kosa ukirudi nyumbani ananuna makusudi akijua huwezi kumuuliza maswali.
 
Mwanamke asiyetaka kuulizwa maswali ni red flag kubwa alafu mnapata wapi ujasiri wa kukaa na wanawake wa aina hii.Unashangaa unaletewa na watoto wa nje utashindwa kumuhoji maswali sababu umejiwekea Sheria zako.Kwa upande wangu Nina haki ya kumuuliza maswali kachelewa kurudi nyumbani maswali hutamuuliza utafanya action gani sasa.

Hajapika Kwa wakati alafu kanuna na watoto wamelala njaa utaenda kumbembeleza yeye maswali hutamhoji.
 
WANAWAKE HAWAPENDI KUULIZWA MASWALI, WEE FANYA TUU; WATAKUONA WEWE NDIYE DUME.

Anaandika, Robert Heriel.
Taikon Master.

Kuuliza uliza maswali ni dalili ya kutokujiamini, Wakati Wanawake wanataka mwanaume anayejiamini.
Kutokujua nini unafanya, Wakati Wanawake wanataka wanaume wajuvi na waalimu wao. Wanawake hawataki wanaume ambao hawajakomaa.

Kuuliza uliza maswali ni ishara kuwa unawasiwasi, unaogopa na hakika hauna mamlaka. Na Mbaya zaidi unauliza Kwa MTU asiyesahihi.

Imagine unamuuliza demu hivi; Umeridhika? Au umekojoa? Au unahamu? Yaani kama chizi hivi.
Mwanamke anataka mwanaume anayemuelewa, Mwanamke akiwa na Mwanaume hutumia zaidi Lugha ya mwili kuliko Lugha ya mazungumzo. Na kama atatumia Lugha ya mazungumzo basi atatumia zaidi mbinu mbili;

1. Mbinu ya mafumbo.

2. Mbinu y unyume.

Kama hajafurahi atasema amefurahi, na kama amefurahi basi atasema hajafurahi au akae kimya.

Wanawake wanapenda wanaume Smart, mbali na kuwa Pesa lakini wanawake wanapenda wanaume wanaowaelewa.

Mwanamke anataka kulumbatiwa alafu unamuuliza nikukumbatie? Wewe kama sio chizi ni nini?
" nikubusu"
" Nikubebe"
" Nikutambarize, nikulale"
Huo ni ujinga.

Taikon kama mzoefu wa Saikolojia na physiology ya Wanawake ninakuambia hivi, ukitaka kufanya Jambo Kwa Mwanamke wako fanya. Hayo ni mamlaka na Huko ni kujiamini,na Mwanamke wako atakupenda.

Mfano; umerudi Kutoka kazini, au umekutana na Mpenzi wako, msalimie, umvute karibu yako kimahaba kisha mkumbatie Kwa nguvu ahisi joto lako, hakikisha Viungo vyake vya mwili umevikamata Kwa kiwango cha wastani, ahisi kama anafanyiwa tiba ya misuli, kisha muachie busu zito, kisha mkiachana unampiga kikofi cha tako,

Mwanamke anataka ajione unamamlaka juu yake, sio ulete mambo ya usawa au kumuuliza maswali.

Mfano no 2. Unataka kufanya Mapenzi naye;
Hakuna kitu Wanawake wanapenda kama kumuona mwanaume anayempenda akiwa katika state ya kumtaka kingono, tena akikuona umesimamisha uume wako anafurahi Sana, ingawaje hataonyesha Jambo hilo, Ila body language yake itaonyesha. Kwanza ataona unampenda na kuona kumbe anakusisimua.

Hata kama anakataa n kujifanya anatoa udhuru, wewe tumia mamlaka yako kijanja.

Kamwe usimwambie unahamu, Hilo ni kosa la kiufundi, pili usimuombe game Hilo pia ni kosa.

Muite kitandani ukiwa na Boxer au bukta unayoshindia kila Wakati.

Muweke kifuani Mwako endeleeni na Stori huku unamtomasa tomasa, ongea Sauti za hakika zenye ushawishi wa kimapenzi, sio umwombe Noop! Eleza jinsi alivyo, elezea jinsi unapomuona unavyojisikia, muonyeshe mjegeje wako jinsi ulivyofurahi kuona kiungo chake(unataja labda upaja, au tako, au ziwa au Jambo lolote ambalo linamuingia akilini).

Dakika 10 nyingi naye atakuwa amesisimkwa, mtajikuta mpo mchezoni. Unapiga mechi, mnaenjoy.
Sio unaparamia vitu kama Konda wa Mbagala.

Alafu kuna Ile Unamuona kabisa Mpenzi au Mkeo anahamu alafu ulivyomjinga ATI unamuuliza, "Unahamu?" Kama jinga Fulani.

Wanawake wanapenda wanaume wanaojiongeza.

Sio kuuliza maswali kama mtoto Mdogo.

Wanawake kisaikolojia hata wakiwa wanahamu furaha Yao ni kuona wewe ndio unasahitaji kimapenzi/kingono kuliko wao wanavyokuhitaji. Hiyo huwafanya wajione wanavutia Waume au wapenzi wao.

Unaona Mwanamke amekasirika alafu muda huohuo unamuuliza umekasirika nini. Akili yako haijiongezi kuwa nini kimemfanya Mkeo au Mpenzi wako akasirike? Ni kweli huenda haujui kilichomkasirisha mkeo au Mpenzi wako lakini kamwe usiulize maswali kwani hiyo pia itamfanya akasirike zaidi Kwa kuona humjui na kama humjui basi moja Kwa moja atajua haumpendi. Unaona mambo hayo ya Dada zetu hayo.

Fika, umekuta amenuna, ingia, msalimie, labda hajaitikia, nenda kaa karibu yake, zungumza naye Huku labda unavua viatu au koti au kufungua Shati la kazini, mtolee Zawadi labda ni pipi au chochote ulichobeba, mwambie embu Kula hii kipenzi changu utulize Nafsi, alafu kuna taarifa nzuri nataka kukupa, najua kinachokusumbua hakitaweza kupambana na Mimi. Utamuona akibadilika na kuanza kufunguka, nini kinachomsumbua.

Sio ujifanye una-stress za kazini kuliko za Mkeo. Au Mpenzi wako. Mwambie upo kwaajili yake na kwaajili ya kumpa furaha, na yeyote au chochote ambacho kitaivuruga furaha yake hautakuwa tayari, kisha msikilize. Sio uanze kumfokea kana kwamba nawe umekuwa zero emotional intelligence.

Mwanaume lazima uwe na majibu yote ha maswali ya Mkeo au Mpenzi wako. Kama huna majibu basi atatafuta majibu Kwa wanaume wengine.

Wanawake ni kama Watoto, wanapenda kujaribujaribu mambo na kukujaribu ili kuona how smart and tough you are, tumia hata Uongo wenye Akili kuyajibu maswali Yao. Na kamwe usiwaulize maswali.

Vinginevyo maswali yako yalenge kuwatukuza na kuwasifia, mfano, hivi unawezaje kupika chakula kizuri kama hicho?

Hivi unaweza kunifanya niwe mwanaume msafi kiasi hiki?

Hivi haya mauno ulijifunzia wapi?

Hayo ni maswali yanayolenga kumsifia na kumtukuza Mkeo au Mpenzi wako. Na hayahitaji majibu yake kwani unaweza kuendelea kusifia tukio linaloendelea.

Mshike mkono, kisha mvute kiasi kama unampepesusha na akiwa anatetereka unamtuliza, akiwa ametulia na kuanza kukutukana kuwa hapendi, eleza furaha yako.

Sio unakutana na demu barabara ATI unamwambia naomba mkono, unaomba!!! Unaumwa wewe!

Acha nipumzike SASA.

Sabato NJEMA.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hebu elezea mwanamke ambye umeishi naye zaidi ya miaka 20 na amezaa matoto usiongee kama unaongea na na kabinti ka miaka 20, assume wewe una kilo 73 mkeo ana kilo 95 kanenepa afu eti umuweke kifuani..
 
Back
Top Bottom