Wanawake hawapendi kuulizwa maswali. Fanya tu watakuona wewe ndiye dume

πŸ˜€πŸ˜€
Kuna wenye Akili ya Pesa.
Alafu kuna wenye Akili za mahusiano.
Kazi ipo
Hebu shuka kidogo "mwanasaikolojia" utuchambulie dalili za makundi haya haya matatu: 1. Wenye akili za pesa halafu hawana akili ya mahusiano, 2. Wenye akili ya mahusiano lakini hawana akili ya pesa, 3. Wenye akili ya pesa na akili ya mahusiano.
 
πŸ€£πŸ€£πŸ˜… Acheni hizo basi baby zetu
Ndivyo tulivyo tumeumbwa hivyo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Kuna vitu tunavimaliza kiume bila nyie kujua kwa sababu tunajua huwa mnaongozwa na hisia sana

Labda nikupe mfano rahisi ninaweza nikamsaidia ndugu au rafiki kifedha bila kukuambia au kukushirikisha
 
Na Bora mfiche hivyohivyo.πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nasikitika Sana kwako maana umejitolea kupelekeshwa na wanawake.Kwa staili hii maanake Mwanamke wako atafanya kosa ukirudi nyumbani ananuna makusudi akijua huwezi kumuuliza maswali.
 
Mwanamke asiyetaka kuulizwa maswali ni red flag kubwa alafu mnapata wapi ujasiri wa kukaa na wanawake wa aina hii.Unashangaa unaletewa na watoto wa nje utashindwa kumuhoji maswali sababu umejiwekea Sheria zako.Kwa upande wangu Nina haki ya kumuuliza maswali kachelewa kurudi nyumbani maswali hutamuuliza utafanya action gani sasa.

Hajapika Kwa wakati alafu kanuna na watoto wamelala njaa utaenda kumbembeleza yeye maswali hutamhoji.
 
Hebu elezea mwanamke ambye umeishi naye zaidi ya miaka 20 na amezaa matoto usiongee kama unaongea na na kabinti ka miaka 20, assume wewe una kilo 73 mkeo ana kilo 95 kanenepa afu eti umuweke kifuani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…