Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? πŸ€”πŸ€”

Zaidi ya mmoja kwa kweli ni ngumu, huwezi kuwa na baby mama zaidi ya mmoja halafu utake kuoa brand new.

Ni ngumu kupata mke na hata akijilipua kukukubali ujue huyo ni kauzu hapendi wanao kiivo anaishi kwa akili tu hapo.
Mimi baby mama watatu nkaoa brandnew...yeye akiwa mjamzito nkampa mimba mdada mwingine huko dar watoto wamepishana mwezi kuzaliwa....mwanamke ukiwa na uwezo hata uwe n watoto 20 atakuja tu kwako
 
Hao watoto wake wanazuia vipi huba langu?
Me naangalia mapenzi na huduma muhimu hayo ya watoto nitawalea kiroho safi, na mama zao hawantishi!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanawake wanapaswa kukuelewa wasipokuelewa wakakalie gekul kule babati....kunywa wine bili ntalipa
 
Hao watoto wake wanazuia vipi huba langu?
Me naangalia mapenzi na huduma muhimu hayo ya watoto nitawalea kiroho safi, na mama zao hawantishi!! 🀣🀣🀣
We unaonekana hata hao watoto unaweza kuwaiba wawasahau mama zao.

Kuna wanawake wanapenda watoto mpaka wanaume wanaolea watoto peke yao wanakuwa kivutio cha pekee kwao.
 
We unaonekana hata hao watoto unaweza kuwaiba wawasahau mama zao.

Kuna wanawake wanapenda watoto mpaka wanaume wanaolea watoto peke yao wanakuwa kivutio cha pekee kwao.
🀣🀣🀣 me nikikupenda ex baby mama wako lazima ahame mji.
Na hao watoto watamkataa mama yao!!
Na wewe mwanaume presha utazisikia kwa majirani
 
🀣🀣🀣 me nikikupenda ex baby mama wako lazima ahame mji.
Na hao watoto watamkataa mama yao!!
Na wewe mwanaume presha utazisikia kwa majirani
Mimi wanawake wa aina yako nawapenda kweli.

Yani mapenzi shurti kama mashindano vileee 🀣🀣😘😘
 
Mkuu wewe ni muiraq au mmasai?
 
Mwanaume hakikisha unakuwa na hela
Mwanamke hakikisha huzai hadi uolewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…