Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

hahaha
usiseme wanawake et ni mashetani hata wao wakikaa wanasema wanaume mashetani ... muhimu wote hatujui kuwa tunapqmbania vitu ambavyo hautakuwa navyo milele
 
ukitaka kufanikiwa katika dunia hii ni kujitoa katika mapenzi ni kujitoa katika ndoa kataa ndoa jenga Afya yako ya akili ,furaha utaiona dunia ni sehemu nzur sana ila sisi tunajisifia kimwaga mabao saba duu tungejua hata usipofanya mapenz dunia watu wataongezeka .... shtuka wewe mlokole ukitaka kuuona ufalme wa mbinguni achana na ngono mapenz ndoa .....
 
Madini haya
 
Aisee kuna muda unakaangalia unataman hat umkate kibao azimie
 
Jubha jubha! 😂
 
Hao wanawake wako mbingu gani? Mbona niliokutana nao na huyu niliemuoa hana hizo mood swings
 
yes big point, kila kitu kinategemeana na mtu mwenyewe hivyo hili suala lake hayuko sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…