Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Umekosea kuquote....umenishtua!!!
 
Hapana Hana tabia ya kupiga,mwanamke ndo alimprovoke kwa maneno machafu na kashfa Kama zote,jamaa akashindwa jizuia,na Habari kanipa mdogo wake jamaa wa kiume,ambaye ananifahamu.
 
Ana hasira nami,tatizo mioyo imekutana[emoji1745][emoji125]

Wala sina hasira na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mm ni mme wa mtu na nina mchepuko pia[emoji23][emoji23]
Mimi najaribu kukuchana ukweli wewe kula huyo mme wa mtu kwa siri mkewe asijue maana inaondoa aman ya ile ndoa
Kula mme wa mtu sio kosa et unamsaidia mkewe maana ashazoea ile test ya k yake[emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa jitahid iwe siri mkewe asijue na hata kama jamaa anataka kukuoa fanyen kwa siri kwanza mpk ufike wakat wa kuoana ndo muweke waz
Ila sahiz ukisema muoane hata watu watapinga maana wataona kama we ndo migogoro ya ile ndoa
 
Kumbe alive chukua mkwanja na kwenda olewa Arabia kesha rudi?
 
Sijawahi weka wazi alifuma meseji kwenye simu y mumewe ndo ugomvi ukaanza,n watu kumpelekea maneno,ila hatujawah mwonyesha hadharan,Wala kumdharau.
 
Aaaaahhhh jamani bi mdogo weeeee ndoa ya mke wa pili na kuendelea yahitaji matashtiti, matarumbeta mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba
Mie sio mtu wa Kiki,niligraduet chuo kikuu na hta mahafali sikuhudhuria,nikiwa na 4.4 gpa, kwenye chuo kinchotambulika ulimwenguni.
 
Wala mioyo imekutana tu,nishadate na kuzaa na wenye Mali na kampuni zao,ili niliondoka kimyakimya bila vurugu Wala ugomvi🙏go figure 🏊🏃⛹🏾‍♀️
Eeeh jamani mambo ni mengi hapa....nikajua kabinti kadogo kabichi, kumbe mkubwa mwenzie enhee kwahiyo hii sio ndoa ya kwanza na watoto pia unao???

witnessj mletee mwali mkeka akae, mambo yameanza upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…