Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Kila kitu kinahitaji investment, wekeza kwa.Mkeo mnunulie vyombo vizuri, na cookingware

Muachie hela nyingi ya matumizi sio unaacha afutatu afu unataka upikiwe vizuri we ulisikia wapi 😁😁😁
 
Oya Gheto langu sio lakuingiza MALAYA Mimi hao mademu nilikuwa nawaingiza kwenye Gheto la wanafunzi wa chuo yaani Mimi Gheto nalotumia kuishi niingize demu au Malaya 😁
 
Kila kitu kinahitaji investment, wekeza kwa.Mkeo mnunulie vyombo vizuri, na cookingware

Muavhie hela nyingi ya matumizi sio unaacha afutatu afu unataka upikiwe vizuri we ulisikia wapi 😁😁😁
Nakazia
 
Mbona hiyo Afutatu Kama anajua kupika lazima atatoa kitu kizuri hata Kama Cha Bei Rahisi
Kila kitu kinahitaji investment, wekeza kwa.Mkeo mnunulie vyombo vizuri, na cookingware

Muachie hela nyingi ya matumizi sio unaacha afutatu afu unataka upikiwe vizuri we ulisikia wapi 😁😁😁
 
Mara utasikia mna michirizi
Kesho watakuja tupunguze vitambi vinawakera kwenye mnyanduano bibi haonekani

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatareee
Sasa matiti wakitaka yaendelee kusimama waache kuyanyonya!! Na wewe ni mmojawapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa matiti wanataka yasimame yatundike koti au na wanavyoyanyonya pumbavu hawa😁😁😁😁😁😁
 
Oya Gheto langu sio lakuingiza MALAYA Mimi hao mademu nilikuwa nawaingiza kwenye Gheto la wanafunzi wa chuo yaani Mimi Gheto nalotumia kuishi niingize demu au Malaya 😁
Nani kazungumzia malayaπŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚Dadaangu Mimi mwenyew tia maji tia maji mtaachwa kabisa kama mm ndo Mwalimu wa hayo mapishi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Bora we unaleta recipe zako humu tunaziona Akina siye Sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Bora we unaleta recipe zako humu tunaziona Akina siye Sasa πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wewe fundi kabisa
Mimi sio mpishi mzuri sema tu napenda iyo kazi lakini kwaujuzi Wala Sina lolote
 
Wewe fundi kabisa
Mimi sio mpishi mzuri sema tu napenda iyo kazi lakini kwaujuzi Wala Sina lolote
Ni mwendo wa kukaanga mayai...kigetogeto
Kwenye friji hukosi mayai na mkate na juice ya ceres just in case of anythingπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
mbona ni kitu kidogo sana atajifunza tu....

mambo mengine mnayapa sana umuhimu
Ninamfahamu binti harusi yake nilihudhuria (wazazi wake tunatoka kijiji kimoja) aliolewa na mkenya yule binti hakukaa hata mwezi jamaa alirudisha kwao wamfundishe kupika na kufanya usafi wa nyumba na wake pia,utakapotaka ajifunze atakwambia weka house maid ayafanye hayo coz kwao hawakuwa wakipika wala kufua.

Aged 24 anarundika chupi kwenye tenga zinakaa mwezi kisa anazo nyingi kuchemsha hata maji kwenye gas hajui aanzie wapi,haya ni mambo yapo sisi wenye familia leo inabidi tuzingatie sana kwamba tunapofanya jukumu la malezi tujue tunalea mume wa mtu na mke wa mtu wa kesho,mbona wakati wa mama zetu hizi kelele hazijakuwepo?
 
Ni mwendo wa kukaanga mayai...kigetogeto
Kwenye friji hukosi mayai na mkate na juice ya ceres just in case of anythingπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Kwakweli ndio maana mna flat tummy
Mie bila ubwabwa sitoboi ila wadada wengi wanajua kupika tatizo muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…