Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Kulaanina kuliko tumkose dada bora tumkose kantry mxxxiiu πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii nimeielewa, nimesoma cuba.

C.a.z........
 
Ukiwa na Pesa Kuna vitu huwezi lalamikia mwanamke[emoji23]
 
Ni kweli mkuuu chakula ni kitu cha kuzingatia sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kula tano mtu wangu
Bora dada asepe, sasa hivi hata mwenyewe fundi ni kupeana zamu tu. Pilau nimelijulia, jpili nilitoa kitu cha hatari[emoji23]
 
Bora dada asepe, sasa hivi hata mwenyewe fundi ni kupeana zamu tu. Pilau nimelijulia, jpili nilitoa kitu cha hatari[emoji23]

Unavutia kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio siku mbili unaanzisha uzi hapa?!!!
Hilo pilau nina wasi nalo hajapika dada kweli?
 
Unavutia kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio siku mbili unaanzisha uzi hapa?!!!
Hilo pilau nina wasi nalo hajapika dada kweli?
Hapana mara moja moja napika mwenyewe kama for fun, sio muda wote kuwa serious tu[emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] bado mama baby k, soon utapigwa na surprise

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama yake mdogo baby K hana hamu kilichomkuta na Biso kanasa eti anatema mate si katupiga jamani mara hii??
 
Hapana mara moja moja napika mwenyewe kama for fun, sio muda wote kuwa serious tu[emoji23]

Afu siku zinazobaki napika mimi?? Thubutuu!!
Punguza uchu dada abaki hekaheka za jikoni siziwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaili kaka umekosea kwaiyo unataka kusema tuwekeane zamu na mwanamke kuhusu kupika na kama sina uwezo wa kuweka house girl inakuaje tena unakuta maali yenyewe wamekomaa millioni 3 hawajapunguza hata mia alafu jitu lenyewe box kupika zero
kwa hiki umeandika hapa akili huna ndugu! Maisha yamerahisishwa. Mkeo hajui kupika kwanini usimlipie miezi 2-3 ajifunze mapishi? acha roho mbaya ya kusema vibaya wanawake wewe, kuwa na adabu. Kuna vifaa sikuhizi vinafanya karibu kila kitu Cha jikoni kwann usimnunulie mkeo?

Upendo huna na mkeo nyauuu wewe

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…