Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama yake mdogo baby K hana hamu kilichomkuta na Biso kanasa eti anatema mate si katupiga jamani mara hii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tayari kishaingia kwenye ukoo.

Sema ukoo wenu unapendwa sana, kila mtu atafanya namna aingie[emoji23][emoji23]
 
Mtufundishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tayari kishaingia kwenye ukoo.

Sema ukoo wenu unapendwa sana, kila mtu atafanya namna aingie[emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani oddo akiyapata sijui itakuwaje?!!
Siku nitakayompa umbea nitamrecord usikie atakachosema
 
Umefika mama wala usijali, mi najua kupika kwaio hata mwanamke asipojua kupika mi kwangu sawa tuu.
Umefika mama wala usijali, mi najua kupika kwaio hata mwanamke asipojua kupika mi kwangu sawa tuu.
Umelelewa vizuri. Big up kwa wazazi wako. Wenzako ndo maana ndoa zinawashinda maana wanaoa ili wapikiwe chakula na kufuliwa nguo. Wa.atakiwa kuajiri wapishi...wamejaa tele na wamesomea fani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…