Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu


Kwahizo kucha simtakula ma** duh yan mtu unapikaje na mikucha mirefu hivo uchafu hata unawe vipi
 
Nyie ndo tunawagongea wake zenu kila siku kwa kuwadekeza kwaiyo inamaana alikuwa hajui majukumu yake ya kuolewa ni nini ni pamoja na kumuhudumia mume wake pamoja na kupika yani nikuoe alafu eti nikupeleke ukasomee mapishi iv akili zako kipo kichwani au ziko makalioni mama yake alikuwa na majukumu gani kwa binti yake Kwaiyo alimuoza aje nikamlipie course ya mapishi brother kwa huluma zako hizo utagongewa mkeo kila cku life inataka misimamo
 
kiislam mwanamke anaolewa sababu ya kuongeza familia tu.
Hayo ya mapishi ni kujiongeza kwake.
 
Kwaili kaka umekosea kwaiyo unataka kusema tuwekeane zamu na mwanamke kuhusu kupika na kama sina uwezo wa kuweka house girl inakuaje tena unakuta maali yenyewe wamekomaa millioni 3 hawajapunguza hata mia alafu jitu lenyewe box kupika zero
Hapana sijasema hivyo kakini kwenye ndoa sio mambo fulani yafanywe na mmoja tu utadhani ni sheria kumbuka
Kuna kuchoka
Kuna kuumwa
Kuna dharura nk
Ni lazima na ni muhimu siku moja moja naye afurahie pishi lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama hujui hujui tu

Mfano ukitaka kupika mchuzi mzito unafanyaje

Tumia tui la Nazi au viazi mviringo ,karoti kiufupi wanawake hawajui kupika unamletea Nyama ili apike then anaishia kujaza maji kibao Nyama zinelea juuu juu
Kuna wanawake hawapiki,wanachemsha!mtu hajui hata chai anapika mbichi huyo nae mtu
 
Hiyo chapati ndio slay queen anasema ukitaka yenye shepu nzuri hiyo kazi iachie Ituruki🀣
 
Maisha haya
Wanaojua kukarangiza waume zao hata nyumbani kurudi tu mbinde
Vyakula wanapika wanakula wenyewe
 
Kuna wanawake hawapiki,wanachemsha!mtu hajui hata chai anapika mbichi huyo nae mtu
😁Sasa mnabidi mfundishane ,maana Kuna watu hawajui kuwa chakula kinachukua Sehemu kubwa katika Maisha ya Binadamu ikiwemo mwonekano na Afya ya mwili kiujumla.


Ikiwa hali itaendelea hivi tutegemee kuwaona vijana Kama wazee na wazee Kama vijana.
 
Kwaili kaka umekosea kwaiyo unataka kusema tuwekeane zamu na mwanamke kuhusu kupika na kama sina uwezo wa kuweka house girl inakuaje tena unakuta maali yenyewe wamekomaa millioni 3 hawajapunguza hata mia alafu jitu lenyewe box kupika zero
kumbe unalipa 'maali' ili ununue mpishi?
 
"....na pakujifunzia ni ukuku magetoni maana uko majumbani kwenu kila kazi mmewatelekezea wadada wa kazi.!!"πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo ni pisi kali au kibaka?Hata kukupikia supu ya kabeji hawezi?πŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…