Safi.Okay. Nasoma tena.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi.Okay. Nasoma tena.
😄😄😄imekaa iyoo drAcha mambo za kiwaki mjuba ungekuwa hutaki kumsaidia ungekataa tu, we uzazi wake unakukera nini?
Halafu kwanza sahivi mambo yote level seat haya hii chai yako ni ya mwezi upi?
Hamna mamalai nakuchana ukweli.We chaliii ya r unazingua
Nimesoma bila kuzingatia misamiati kuielewa. Ila nimeelewa sasa.Safi.
Siunajua mamrax wa kimashavuni hawatakagi haraka chaliangu?chalii umezingua,kwa hiyo huyo mraka wa kishua hujapita naye!
Huko tunaita kusoma kwa kuzingatia maana.Nimesoma bila kuzingatia misamiati kuielewa. Ila nimeelewa sasa.
Hamna imenikera mbayaa. Yani tokea naelekea fasi nilitamani kuweka uzi humu maana mimi hata huwa sina tabia ya kubandika humu lakini nimeona pia mtajifunza kufanta uzazi wa mpango.Huey hawezi kufanya mambo kama haya jibu lake lingekua hili tu ....''Eeh"[emoji19]
Nimefurahi kukuona leo mamalai. Yani nilikua naenda date nikamsaidia dada mtoto kumbebea kwenye kidala alafu mtoto akanikojolea ikabidi ninunue shati refu sana kama kanzu ya kasisi hivyo nimepoteza point kisa huruma tu na kisa wanawake wengine hawatumii uzazi wa mpango na pia hawataki kuwa wastaarabu kuvalisha watoto pampas.Chaliiangu Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta....
Daby naomba samari...
Mimi naona angenunua tuu gari.Huko tunaita kusoma kwa kuzingatia maana.
Sasa mwambie lolote mtoa mada.
Wengine wanapenda kubebanisha wazae harakaHamna imenikera mbayaa. Yani tokea naelekea fasi nilitamani kuweka uzi humu maana mimi hata huwa sina tabia ya kubandika humu lakini nimeona pia mtajifunza kufanta uzazi wa mpango.
Ushauri mzuri sana, kuliko kulalamila.Mimi naona angenunua tuu gari.
Cc Chaliifrancisco.
Nimefurahi kukuona leo mamalai. Yani nilikua naenda date nikamsaidia dada mtoto kumbebea kwenye kidala alafu mtoto akanikojolea ikabidi ninunue shati refu sana kama kanzu ya kasisi hivyo nimepoteza point kisa huruma tu na kisa wanawake wengine hawatumii uzazi wa mpango na pia hawataki kuwa wastaarabu kuvalisha watoto pampas.
Asee bado mambo yangu sio yechu sana nitanunua tu one day Jah akibless maana nasikia kutembelea kalio bakta ni shangwe kinyama.Mimi naona angenunua tuu gari.
Cc Chaliifrancisco.
Dah kweli inawezekana sababu ni kuwa nimelost kinyama ila next time nitawacheki wadau mnipe shavu hata ninyake hizo ubax.Nipo, nimecheka kama mazuri, sasa una laumu nini uzazi mpango? Uchumi tu hapo...
Ukipata ki date kingine niambie nikuagizie Bolt au Uber...