Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante dear nikimaliza kula nitakukula na wewe?Chalii njoo ule chapati
BablaiKakutana na dada na watoto kwenye gari , akamsaidia kubeba mtoto mmoja, mara paap mtoto kamkojolea , kushuka ana ramani za mikojo kwenye suruali , akapata uchungu hata amtafuta yule dada mwenye mtoto amdinye lakini ni pisi butu .
Kwa hiyo kwa ushauri tumieni uzazi wa mpango msiwe na vitoto vingi kama vya sungura mnavyoshindwa kuvimudi hata kuvivika pampas.
Kaa kwa kutulia dingiWe chalii unae ngebe ile mbaya.
We kenge. Mbwaaa The Mongolian SavageWakuu hata salamu sitaki maana nina moto mbayaa.
Leo nilikua na kidate na manzi mmoja mtoto wa mashavuni nimemind flag long time kinyama ila ndio akawa anambwelesha kidizaini sema chalii ya bakta nikakaza niaje basi juzi kati tukapanga kuwa leo ndio tutakutana fasi za niaje tuendelee kuyajenga
Basi nimetoka zangu magero nimetupia zangu cadet ya khaki na shati yangu ya paisley nikadandia kifodi fasi ya Patel nitimbe zangu bakta mfukoni nna mbau ya ngama mara kituo ya mbele anapanda maza ana makid wabee ukicheki mmoko ndio kama anakaribia miaka bee na mwingine hata miezi foko hana
Mara maza ananiambia "kakaa naomba nishikie mtoto mmoja" nikaona yente tu haikatai kiroho safi nikamchukua huyu kidi wa karibia miaka bee nikampakata. Kifodi imetembee kiaina mara kido kasinzia kanilalia kwenye kidari akaanza kutema udenda kinyama mara daika chache nasikia kama moto yee kwenye boksa kumbe kidi ka download mzingo
Bahati nzuri ndio kifodi imefika Morombo hapo natakiwa niunge ndinga ingine niingine bakta kushuka pale naona shazi kiwaki maana cadet imechora ramani ya Oldonyosambu
Imebidi pale niingie dox moko nidake dogidogi la tenga dala refu kama kanzu ya Capchini ili ile ramani kwenye cadet ifunikwe hapo nikapata shot kwenye ile mbau ya ngamaa nikabaki na tenga kumnadala.
Nimemind mbaya ila yule mamla hata sikutaka kumsemesha maana bora hata angekuwa niyee hata ningechukua namba nimtafute one day nipunguze machungu lakini ni mnara tu manzi wa kiwaki tu. Bahati nafika site manzi hataki hata kinywaji nikadaka daso yangu ya buku bee hapa nimerudi gero na buku kumi baada ya nauli.
Nawaambia wanawake mtumie uzazi wa mpango maana kama yule mamla angefanya hivyo asingekuwa na haja ya kuomba kusaidiwa kubebewa mtoto kweny kifodi. Pia kuweni wastaarabu maana kama unajua unaweza kuomba kubebewa kidi kwenye kifodi basi nunua hata pampas mvalishe.
Namaindi mbayaa. Acheni uwaki.
The Mongolian Savage siku hizi ameadimika snowbunnies wanamuweka busy.We kenge. Mbwaaa The Mongolian Savage
Huu uzi haunifaiAsante dear nikimaliza kula nitakukula na wewe?
Mshamba mwenyeweesina haki ya kuoa?
wewe ndo unanifaa
we mshamba mwenzangu
Oyaa mkaldayo rudisha hao mbusii faster sisini giza linaingia.We kenge. Mbwaaa The Mongolian Savage