Wanawake jitahidini sana kuficha 'Hobbies' zenu kwani zingine zinatutisha Wanaume na mtakosa Waume wa Kuwaoa kisha mumlaumu tu Maulana

Hisia zako tu kujua mambo ni udadisi tu vile watanzania wengi wavivu wa kusoma vitabu basi ni waoga
tatizo wenzako wakishajiona wajuaji sana hata zile haiba za kike kwa baadhi yao zinapungua
kiasili mwanamke ni kiumbe ambae anatakiwa ajishushe mbele ya mwanaume, na bado hadhi na heshima yake itabaki palepale mbele ya mwanaume mwenye uelewa.
 
Bora wewe mzee mi nliscroll insta ilikua imewekwa hii picha akaanza kuncheka, kumbe alikua kashamjuacmtu wa 4, ndo nkajua nimepigwa
 
Genta huyo ndio mzuri anafaa sana....oa kabisa...
Kuliko kupata wala wakata nyonga na kutingisha matako wakiwa wameshika magoti...
 
Utakuwa we ni lege lege asee
 
Unajua kwamba malezi yetu sasa hayabagui watoto? Wote tunakwenda shule zile zile. Tunafanya mambo yale yale ya jamii. Tofauti yetu ni jinsia tu. Kwanini sasa wanawake wasijue tunachojua wanaume?
 
Vitu vya kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…