Hata mkioga kuna mwengne unakuta anaumwa fangus au pid kwaiy ugonjwa uko ndani hata ukioga uchafu utaondk ule WA nje Tu lkn harufu haiwez kata mpka atibiwe ugonjwa ndy kiharufu kitaka.But hamna Mkoba ambao haunuki, cha msingi ni kuoga kabla ya tendo
😂😂😂Ndiyo ikiwezekn kunywa kutwa mara tatu kama dozi kitilapia sijui kinini utakisikia Kwa jilani🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️Jamani jamani kwahiyo tumeze na vitunguu kama vidonge? Mbona mnaruvuruga huko tumboni kutatengeneza pilau sasa😀 ahsante lol
Aah nashukuru kitilapia hapana sina hiki😀 ngoja niendelee na kinga ya mtindi naupenda😀😂😂😂Ndiyo ikiwezekn kunywa kutwa mara tatu kama dozi kitilapia sijui kinini utakisikia Kwa jilani🏃🏾♀️🏃🏾♀️🏃🏾♀️
Ewaaah🥳🥳🥳Aah nashukuru kitilapia hapana sina hiki😀 ngoja niendelee na kinga ya mtindi naupenda😀
Sielewi wanaogopa hata kunusa aisee😀😀Wanusaji mnakwama wapi?? 🤣
Sijijui nna harufu or sina nimeomba msaada wa kunuswa ili nijijue😔 ila kila mtu ana harufu shida ni harufu nzuri au ya kukera?Nawewe mdogo wangu una harufu?
Kweli mkuu? Nipo serious ujue 😀Njoo nikunuse..😋 financial services
😂😂😂Huna bhna wew kunywa mtindi tuSijijui nna harufu or sina nimeomba msaada wa kunuswa ili nijijue😔 ila kila mtu ana harufu shida ni harufu nzuri au ya kukera?
😀😀 nanukia harufu ya machungwa😂😂😂Huna bhna wew kunywa mtindi tu
Ahahah ngoja nichukue tendamdogo wangu
Umekuwa daktari wa maeneo nyeti ya wanawake(kwa bibi)?
Ile kitu iliyochacha inatibu hali ya hewa maeneo nyeti!!! Biashara hiyo lakini .
Weka namba wakutafuteAsante kwa kunipigia promo mleta uzi, nipo kiluvya madukani kwa bei za jumla na rejareja. Ukihitaji delivery tunakufanyia kwa gharama nafuu kuanzia lita tano na kuendelea. Hata hivyo, kwa ajili ya ku-boost immune yako, kung'arisha ngozi yako nk, karibu upate fresh milk.
Wanaume tunywe I Sana pombe inasaidiaHellow
Wadada mnahangaika sana kwenda hospital kununua dawa za UTI sugu wengi mnaangaika kununua marashi ili kwabibi kusiteme harufuku ushauri wanguu fanyeni mtindi ndio kinywaji chenu achaneni na soda sijui juice za matunda wewe hakikisha kila siku unakula mtindi kula kama kinywaji chako cha kila siku ilo jasho la kwabibi litakata
Unakuta manzi mrembo afu kwabibi kunatema hii sio sawa ushauri wa bure ata kwa sisi wanaume kama unakijasho kila cha kwapa mtindi unatibu
Kwa wadada mpaka fangus za kwa bibi ukitumia mtindi hazitokusumbua
Nitag huko kwenye huo uzi[emoji23], labda mtakula pilau mwaka huuHeka heka zako...Dada this..Dada lile....
Hebu mchek tumalize haya manenoz...
Huyo dada sijampenda[emoji16]Imekuwaje?
Naipenda mno[emoji1]
[emoji28][emoji28][emoji28]sawa...Nitag huko kwenye huo uzi[emoji23], labda mtakula pilau mwaka huu
Sasa si ndiyo Dadako...Huyo dada sijampenda[emoji16]