Wanawake kuomba pesa kwa wanaume kimekuwa kilio cha kitaifa

Aibu sana hawa ombaomba.
 
Achana nae kwan lazima kuwa nae akiomba hela mpige block

Huwez kumpangia mtu matumizi ya sehem zake za Siri
 
Sasa papuchi utapataje ?

Huwezipata 'utelezi wa asili' bila pesa, labda uje chaputa uku uje utumie utelezi wa 'artificial'
 
mkuu wengi wao wana majukumu ya kuhudumia familia zao kama ulikua hujui fuatilia, kama uwezo unao wasaidie tu utabarikiwa.
 
 
Hapo ndo unatongozwa jiongeze wanaume hawatoi pesa kwa ke bila malengo ya kupewa tunda la kati ,hata asipokwambia tambua anakuzoom tu na usipojiongeza atakata ukaribu na wewe maana ni profitless
 
Kuna msemo wa kwamba Mwanaume ukiacha kumpa hell mwanamke wako unaachwa nawe mwanamke ukizidisha mizinga kwa mwanaume wako unaachwa vile vile.
 
Mapenzi ya siku hizi yapo kama SIMBA na YANGA tu. Kumoja kukifurahi kwingine kunalia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…