Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

Wako sawa, unajua haya mataratibu wanaume tuliyaweka kidikteta sana na hawa watu hawakuwahi kuyakubali ila walilazimishwa kukubali.

Leo mwanamke amepewa fursa za elimu, biashara na uongozi, kwa lugha rahisi umemsogeza karibu napesa. Unapomzuia haushindani tena na mwanamke ila unashindana na uwezo wa elimu au exposure iliyoko ndani yake.

Wanaume tumelishwa mentality ya kuwa control hawa viumbe ila tunakoelekea haiwezekani, tuanze kujifunza kuishi na mwanamke mwenye elimu na mwanamke ambae anao uwezo ndani yake wa kutafuta pesa.

Ukimtafuta mwanamke wa zamani aliyekuwa kifungoni, hana maamuzi kwenye familia, anafata chochote anachoambiwa kwa mwanamke wa sasa mwenye elimu hutampata.

Wanaume tulijiachia sana na kudanganyana sana ila tukubari wanawake kujengewa uwezo hii ni challenge tunayopaswa kuikubali sio kuanza kupigana vita isiyo na maana.

Wewe unasomesha mtoto wakike Ile iweje? Unataka asome akaishie tu kuwa mama wa nyumbani anapika na kumfulia mmewake? Hiyo investment unayoweka kwa mtoto wako wa kike inastahili tu kwenda kukaa ndani bila kujishughulisha?

Mwanamke aolewe ila Uwezo anaopewa haupaswi kukaa tu ndani, ukatumike kwa manufaa ya familia yake na Taifa
 
Igweeeeeeeeeeee 🫑
Mwanaume mwenzenu naye basi mtambishia mlivyo vichaa..!! 😹😹

Utetezi wao β€œwazee wa zamani waliishi kwa kumtawala mwanamke” haya mrudi zamani mkaishi huko MSITUCHOSHE 😹😹
 
Nadhani kinachozungumzwa hapa sio mwanamke asome then akae Tu ndani, swala ni, kusoma,kufanya biashara, kupata nafasi ya Uongozi n.k tunafanya mwanamke aache kuwa mwanamke? Aanze kuwa mbabe, mwenye dharau, na KIBURI kwa mumewe?

Kama hivyo ndivyo wanavyoamini, basi ni ukweli kwamba, miaka ijayo, kitakuwa na kundi kubwa Sana la wanawake ambao ni SINGLE MOTHERS na watoto wengi watakaokuwa wamezaliwa na kulelewa nje ya misingi ya UADILIFU!

Kwa haraka haraka, unaweza kuona ni kitu chepesi, kwa sababu ya kuhimili mahitaji ya kibinadamu kama chakula, mavazi, elimu n.k, lakini kuna nguvu kubwa Sana katika kujenga hatma ya watoto kwenye familia iliyokamilika.

Mwanamke bado ana dhamana kubwa ya kufanya maisha ya NDOA yastawi, au yaharibike.
Kila mmoja akicheza nafasi yake vizuri, Kesho ya watoto itakuwa Bora sanaaaa!
 
Wanawake wa hivyo wanaotanguliza degree, masters na PhD badala ya kuongea nafasi yake kwenye familia ya malezi kwa watoto na mume sio wa kuoa.

Hao ni kupiga mimba na kumwachia mtoto au watoto walee, maana wana uchumi na ma-degree kisha unajiweka pembeni.
 
Hawa ng'ombe miaka sio mingi watakuwa wanapiga magoti kuomba ndoa huku wana degree Tano

Wanaume wanakipawa cha kuona mchezo kamili wa maisha kabla hajaanza kucheza.. Ni kipawa.!

Mwanaume kuchakarika ni uwajibikaji tu na wala sio mashindano kwake

Mwanaume kamili haoi takataka kama hizi hakuna ustawi wa familia kwa aina hii ya mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…