I agree with you. Nimuhimu sana kuwa na mke ansyejua kupambana kuliko yule wa kukaa ndani tuu!!, ili siku ukifaa familiar yako ,miladi yako unaweza kwenda mbere vizur sana.na watoto wako wakafikisha ndoto zao wakiwa na mamayao,anaweza kutunza familiar na akatengeneza Jina pia, sometimes familiar zao hispendi hera nying sana ili asaidie familiar yake,sasa ukimuoa akae ndani tu bila kutumika elimu yake ku produce ni hasara kwa familiar yake,vipi utahudumia na familiar ya upande wa mwanamke? Hata ukiumwa hiyo mwanmke anaweza kuleta ugali nyumban,ukizidiwa hata chumvi atareta.Tatizo wengine wanawake wanataka huo uhuru wautumie vibaya yaan majukumu ya mwanamke kwenye ndoa wasufanyee muwe sawa kama mume tu ndo shida inapoanzia.