Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

Wako sawa, unajua haya mataratibu wanaume tuliyaweka kidikteta sana na hawa watu hawakuwahi kuyakubali ila walilazimishwa kukubali.

Leo mwanamke amepewa fursa za elimu, biashara na uongozi, kwa lugha rahisi umemsogeza karibu napesa. Unapomzuia haushindani tena na mwanamke ila unashindana na uwezo wa elimu au exposure iliyoko ndani yake.

Wanaume tumelishwa mentality ya kuwa control hawa viumbe ila tunakoelekea haiwezekani, tuanze kujifunza kuishi na mwanamke mwenye elimu na mwanamke ambae anao uwezo ndani yake wa kutafuta pesa.

Ukimtafuta mwanamke wa zamani aliyekuwa kifungoni, hana maamuzi kwenye familia, anafata chochote anachoambiwa kwa mwanamke wa sasa mwenye elimu hutampata.

Wanaume tulijiachia sana na kudanganyana sana ila tukubari wanawake kujengewa uwezo hii ni challenge tunayopaswa kuikubali sio kuanza kupigana vita isiyo na maana.

Wewe unasomesha mtoto wakike Ile iweje? Unataka asome akaishie tu kuwa mama wa nyumbani anapika na kumfulia mmewake? Hiyo investment unayoweka kwa mtoto wako wa kike inastahili tu kwenda kukaa ndani bila kujishughulisha?

Mwanamke aolewe ila Uwezo anaopewa haupaswi kukaa tu ndani, ukatumike kwa manufaa ya familia yake na Taifa
Kwani tunawasomesha wanawake wabadilike kuwa wanaume? Tunawaelimisha kwa vile ni haki yao kama ilivyo kwa wavulana.

Mawazo ya kipuuzi kuamini maisha ni kuajiriwa. Wenzetu wanajisifia kuwa waajiri siyo kuajiriwa
 
Wanauliza what do you bring to the table, yaani yale mambo unatakayomfanyia nyumbani hayahesabu. Tukisema haya tujamasishane tutafute hicho cha kuleta mezani wanalia 😁
Mtawala huwa anaangalia mgogoro tu sio kile kilichosababisha mgogoro, Typical sisiemu shenanigans 😂
 
That rumor is false my friend. We don't resent our wives. Wanaume wengi wanaochepuka hawaongozwi na chuki. Wanaongozwa na tamaa. Na ndio maana wanaweza kua na michepuko na wakaweza kuhudumia familia zao vizuri sana tu ktk nyanja zote (wengi wao sio wote). Kupitia huohuo uzoefu wao wa kuharibu mabinti za wengine, wanaume wengi sana hawataki binti zao waharibiwe. Na wengi wao wamesomesha binti zao kwasababu hii hii. Wahoji mabinti wengi wanaosomeshwa, wengi wao watakuambia wanalipiwa na baba zao. Na baba zao haohao wapo tayari kumchapa mtu makofi wakimkuta anaonekana kuwarubuni binti zao.
For today i will reserve my comment..

I hate you sababu unajua ila unapotosha, you are being manipulative for some “known”reasons.

Not hating you per se 😅
 
Kuna mchangiaji hapo juu kasema kweli
Tatizo la wanawake ni kudhani kuwa adui yao ni mwanaume wakati sio kweli
Wanawake hao hao (mkiwemo ninyi) bila wanaume pengine msingekuwa hapo
Kuna mliosomeshwa na wanaume
Wapo ambao wanaalipiwa kodi na wanaume
Mpo ambao nyumba, magari hadi nguo mmenunuliwa na wanaume
Hizi sera na sheria za kumsaidia mwanamke zimepitishwa na wanaume ambao ndio wengi bungeni na nafasi za maamuzi
Lakini mwisho wa siku ni asili ya wanawake kukosa shukurani kwa wanaowasaidia pale wanapofanikiwa na hata kuwazidi wanaume
Simshangai sana huyo mwasilishaji
Nimesomeshwa na mzazi wangu, sio mwanaume...nafasi yake ya uzazi kwangu ndio oliyomfanya anisomeshe na sio uanaume wake. Hata angekuwa mzazi wa kike peke yake angetimiza wajibu uleule. Wanawake hatumuoni mwanaume kama adui yetu hata siku moja ingekuwa hivyo wanawake wenye pesa zao wasingekuwa wanaolewa
 
Msingi mzima wa furaha ya ndoa ni mgawanyo wa majukumu ya mke na mume kulingana na mazingira yenu.

Anyway, labda sielewi ukisasa unavyofanya kazi. Embu niambie, kwanini mwanamke akifanya kazi haiwezekani kumtunza mume?
Sio haiwezekani, muda unakuwa mchache sisi ni binadamu tunachoka pia
 
Wako sawa, unajua haya mataratibu wanaume tuliyaweka kidikteta sana na hawa watu hawakuwahi kuyakubali ila walilazimishwa kukubali.

Leo mwanamke amepewa fursa za elimu, biashara na uongozi, kwa lugha rahisi umemsogeza karibu napesa. Unapomzuia haushindani tena na mwanamke ila unashindana na uwezo wa elimu au exposure iliyoko ndani yake.

Wanaume tumelishwa mentality ya kuwa control hawa viumbe ila tunakoelekea haiwezekani, tuanze kujifunza kuishi na mwanamke mwenye elimu na mwanamke ambae anao uwezo ndani yake wa kutafuta pesa.

Ukimtafuta mwanamke wa zamani aliyekuwa kifungoni, hana maamuzi kwenye familia, anafata chochote anachoambiwa kwa mwanamke wa sasa mwenye elimu hutampata.

Wanaume tulijiachia sana na kudanganyana sana ila tukubari wanawake kujengewa uwezo hii ni challenge tunayopaswa kuikubali sio kuanza kupigana vita isiyo na maana.

Wewe unasomesha mtoto wakike Ile iweje? Unataka asome akaishie tu kuwa mama wa nyumbani anapika na kumfulia mmewake? Hiyo investment unayoweka kwa mtoto wako wa kike inastahili tu kwenda kukaa ndani bila kujishughulisha?

Mwanamke aolewe ila Uwezo anaopewa haupaswi kukaa tu ndani, ukatumike kwa manufaa ya familia yake na Taifa
Afanyiwe vyote Ila afundwe juu ya nafasi yake kama mke ikiwa familia zitataka aolewe. La sivyo wanawake nao waoe wanaume wawaweke ndani
 
Hakuna mwanaume mwenye akili timamu anaoa mwanamke ili amuendeshe/amnyanyase. Yaani ni hayupo duniani kote. Vita yenu ni vita dhidi ya mila na desturi, siyo dhidi ya mwanaume. Msichokitambua ni kwamba mwanaume mwenyewe naye ni mhanga wa hizo mila na desturi.
Mila gani hizo zinazomfanya mwanaume kuwa muhanga?
 
Mila gani hizo zinazomfanya mwanaume kuwa muhanga?
Fikiria kijana anafundishwa na kushuhudia tangu utotoni kwamba kumpiga mwanamke anayekujibu vibaya ndo uanaume. Na anasifiwa mpaka na dada zake akifanya hivyo. Huyo akija kumpiga mkewe ukubwani huoni kwamba kwa sehemu kubwa hicho kitendo chake cha kikatili dhidi ya mkewe ni matokeo ya mila potofu alizolishwa na jamii maisha yake yoote ya utotoni na ujanani na si ubabe tu peke yake?

Hata tu huko kufuliwa boxer. Mwanaume anayetarajia umfulie boxer siyo anakufanyia ubabe au yupo kukuendesha. Ndivyo alivyokua programmed na mila na desturi. Mwanaume huyohuyo ukiishi naye America ya kaskazini anaweza kukufulia nguo yako ya ndani. Siyo kwasababu anakuogopa au sheria. Ni kwasababu mila za huko zitambadilisha mtazamo na matendo yake dhidi yako.
 
Back
Top Bottom