Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

Ewaaa...
 
Anagongewa location ingine!!

Acha kuchunga mwanamke we jifanye uko bize na mambo Yako kama anatoka utajua TU!hakuna siri hapa ze world!!
 
Mimi siachi lakini ajabu alikuwa anaviomba vibaki hata nikisafiri viwepo hapo kwake na nikirudi navikuta na nikivichukua alikuwa hataki
Hata Hao waliokuwa wanaenda walikuwa wananijua kwaiyo hawaoni maajabu ,[emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna day nafanya usafi goto nikakuta pichu of which sina taarifa kamili ni ya nani.

Nikaamua kuitupa.

Siku mwenyewe anaiulizia nikamwambia kwani uliweka wapi mm sijaiona.

Akatafuya akachoka.
 
Sasa hzi ni Gani Tena 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…