ππππKama alikuja usiku mashambilizi yanaanz Asubuhi..
Anachemsha mayai sita ili mle matatu Kama una unga wa ngano anapika chapati za kumimina hapo ataweka mayai sukari cjui unga hapo bado ajacheza na hizo NIDO sa nne nne hv anaruka na ka juisi mchana ndo kabisaaa
Yaani anahakikisha Kila kinacholika anakigusa afu hapo anavoondoka anabeba Sweta lako afu una mpa na nauli
WANAWAKE WANA ROHO NGUMU SANA
Nimechomoa betri π€£π€£π€£Jirani sio vizuri kutoa siri za watu π
Alikua anakupiga Muhuri kijanjaMi Kuna manzi alikuwa analazimisha kuniachia khanga yake nkawa namuuliza ya nn,akasema Ili niwe navaa nikienda kuoga,nkamwambia thanks nina taulo,yule manzi alinuna kishenzi ila baada ya kusoma huu uzi nime gundua why.
Yani Leo ndio nastukia mkuu,wanawake tunawachukulia poa ila wana akili mingi.Alikua anakupiga Muhuri kijanja
ππππhuyo katishaa hadi shangaaπYaani sjui kwann,kuna demu ana tabia ya kuacha shanga zake hata juzi kaziacha hapa geto,nilikozificha anajua Mungu tu.
Wanawake wa fm4 na darasa la saba ndiyo zaoAliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii
Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni /khanga /Kyupi ππ
JAMAA YANGU ALALAMIKA, baada ya kuzagamuana na mrembo X, hakujua Kama aliacha hereni zake ndani kwake! Siku alivyokuja "main mazahausi tubii" akaanza kufanya usafi, timbwili likaanza. Alikutwa na ushahidi πππ
MIMI NILIKOSWAKOSWA, siku moja nilishangaa kukuta nguo isiyo yangu, kwenye kabati nikashangaa! Kumuuliza mhusika anasema kwani kuna shida?
AU ni njia ya ulinzi kwamba Y akiacha vitu vyake hategemei, mwanaume wake kuja na mwingine?
Eti ladies wa MMU mnaacha kwanini vitu mkitutembelea?mnavisahau au vipi? π mshawahi kusikia hilo? Na wazee wa masihara mshawahi kuachiwa vitu
Utajapigwa weweNimechomoa betri π€£π€£π€£
Swali ni kwamba kwanini anaacha nguo ilhali hujamuoa?Chapa ilale hafiki nyumbani kwangu. Nyumbani mamsapu wangu ana ufunguo wake, anajiendea muda atakao. Na ukiingia utajua tu nyumba hii ina mwanamke, nguo zake zipo wazi kabisa na sifichi.
Uzuri nawaambiaga nimeowa, kumbe senior bachelor.
Kanisani umeenda?! πππUtajapigwa wewe
Swali lingine tafadhali maana home nimerudi saa 11 kasoroKanisani umeenda?! πππ
Mxieeeeww πππSwali lingine tafadhali maana home nimerudi saa 11 kasoro