Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
- Thread starter
- #61
Sio saloonHiyo saloon ipo maeneo gani nije ninyoe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio saloonHiyo saloon ipo maeneo gani nije ninyoe?
basi anachofanya si jambo jema kwa kweliKituo cha afya mzee
Of course, sema ndo ivo naonekana nina mambo ya kizeebasi anachofanya si jambo jema kwa kweli
Sawa mzee ntafanya hivoFanya kilichokupeleka kazini mkuu
GBPJPY Buy Now 189.180-188.900Hajui kusoma patterns, entry point si hii hapa
Huyu ata-blow account
Haya maubunifu mngeyapeleka kwenye uchumi tungekuwa mbali sana ..shida ubunifu wenu kwenye mbunye tu na mizagamuano....Huyo mchukue tafuta Pepsi itie panadol chikicha kisha ifyatulie kwenye bibi yake .........baada ya hapo mali safi kwa muhuni maana inakuwa haina bacteria tena.........
Tena usiombe mtoto akupe popo kanyea mbingu............utauza nyumba zote za urithi ulizonazoHaya maubunifu mngeyapeleka kwenye uchumi tungekuwa mbali sana ..shida ubunifu wenu kwenye mbunye tu na mizagamuano....
I've tried to understand what you written however i don't understand… StupidityAcha umbeya unataka ujue ikusaidie nini.mtoto wa kiume unakuwa mbeya watakuvisha dela
Sikuhizi naona ni kama mtindo wa manesi/wahudumu wa afya hasa wenye mishepu na mahipsi kuvaa nguo fupi zenye kubana sana. Nahisi hilo tatizo lipo kote.Kituo cha afya mzee
Huwezi kuelewa kwasababu wewe ni kilazaI've tried to understand what you written however i don't understand… Stupidity
I've tried to understand what you written however i don't understand… Stupidity
GarbageHuwezi kuelewa kwasababu wewe ni kilaza
True words have never been spoken🤝Sikuhizi naona ni kama mtindo wa manesi/wahudumu wa afya hasa wenye mishepu na mahipsi kuvaa nguo fupi zenye kubana sana. Nahisi hilo tatizo lipo kote.
Inabidi mfumi wa manesi wa zamani wa kuvaa magauni marefuuuuuuu, makubwaaaa, yenye marinda urudi.
Huu uvaaji wa nguo fupi zenye kubana sana kuonesha mahipsi kunanyanyasa wagonjwa kisaikolojia.
Ama sivyo biashara zitafanyikia huko 🤣
Nina majukumu mengi na ya kuchosha akili, that makes me a man not a boy, hilo ndo jibu ninaloweza kukupatia.Swali la kwanza umri wako ni miaka mingapi? Swali la pili we ni mvulana au mwanaume? Ni jibu ni suluhisho sasahivi ya tatizo lako ili ufanye kazi kwa bidii.