Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Hapo kwenye kuomba Mungu ndio napopataka sijui kwanini nashindwa kuomba ni kama siwezi nikijaribu najikuta nacheka like seriously mimi huyo wa kuomba mume sijui what is happening to mimi
 
Afanye sandakalawe itakapodundia tunaichapa hapohapo!..😁
Mda mwingine miroho ya watu tofauti tofauti inakuwa inakufunga huwezi kufanya lolote la maana,. Utatumikaaa weee mwisho wa siku wote wanakuacha
 
Mda mwingine miroho ya watu tofauti tofauti inakuwa inakufunga huwezi kufanya lolote la maana,. Utatumikaaa weee mwisho wa siku wote wanakuacha
πŸ˜… miroho iambiwe iache uroho!
 
Nimetulia mkuu sema ndio hivyo sielewi.. nimeringaringa huko nyuma kuolewa naogopa na safari hii kama ndio watakuwa wa mwisho hawa halafu na mimi niwe mmoja wa wale wa kushinda kwa mwamposa
 
Kama ni mechi ipo dk ya 90 mpo 0~0,alafu unapata penalt,hapo ni wewe tu uweke kambani au upaishe,kati ya hao angalia ambaye yupo serious JILIPUE
 
Nifundishe kuomba basi kuhusu kujua yupi sahihi mimi nashindwa
 
Endeleee I kuchagua tu ...mwenzenu huku mwisho ana watoto watatu na kila mtu babaake na wawili ni jobless... Endelea kuchagua mama... Upigwe mbupu mpaka ichakae kama utumbo kitabu....
 
Endeleee I kuchagua tu ...mwenzenu huku mwisho ana watoto watatu na kila mtu babaake na wawili ni jobless... Endelea kuchagua mama... Upigwe mbupu mpaka ichakae kama utumbo kitabu....
Ooh una maana ni ruke na yoyote
 
Umeshasema upo kwenye mahusiano ambayo hujui yanahusiana na nini,ila bado unataka kuolewa alooh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…