Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Nifundishe kuomba basi kuhusu kujua yupi sahihi mimi nashindwa
Hamna ni kawaid tu, Kwenye maombi yako ya Asubuhi na Usiku unaingizia na hilo suala..
Kama huwa una utaratibu wa kufanya fasting kwenye nia zako unaiweka na hiyo,
" Omba ukutane na Mtu sahihi wa Maisha yako " Au kama unaamini kuomba kupitia Novena za watakatifu mbalimbali Just do it
 
Kweli Ni viumbe wa thamani lakin Kuna mda hawaeleweki
Ndicho kinachoniumiza sana hiko mkuu!

Nakumbuka miaka hiyo nipo chuo! Nilikuwa na brother ambaye alikuwa amenitangulia since advance level

So alinipokea chuo kama mwenyeji wangu! Yule jamaa kwao ni maisha safiii ... Chuo ana gari, n.k!

Siku moja nipo nae akaniambia "Mdogo angu Mimi hakuna mwanamke anayeweza kunikitaa kama nitahitaji kumla "

Aliongea kwa dharau yaaani hawezi kumkosa mwanamke anayemtaka

Niliumia Sanaa!

Alikuja kupigwa tukio hiloooo! Mpk sasa hivi amebadilika amekuwa mtu mwema 😂
 
Kwan we hauna vigezo vya mwanaume umtakae,kama una vigezo vitano,ukampata mwenye vitatu ruka nae,maana hakuna mkamilifu
Hivi unaweza kuomba huku ukiwa tayari una mtu au unamuacha kwanza ndio unaanza kuomba upya Mungu akupe
 
Nadhani nivizuri wakijibu wenyewe na sikujibiwa hata mimi nataman kusikia kutoka kwao wenyewe.
 
Mmh sijaelewa dada nimesema wapi hapo
Rudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.
 
Nimecheka
 
Kwani hapo mkuu kuna sehemu nimejishusha thamani
Sanaaaa! Yamkini unaweza kuona sawa namna unavyojichukulia!

Ila kwa Mimi ambaye Nina waheshimu sana wanawake naona umejishusha thamani!

Yaani unawezaje ku date na kuwa huru na mtu ambaye unaona Hana future na wewe?

Labda tunaona tofauti! Mtazamo
 
mdogo wangu ndo hivyo maana kadri umri ukienda unapata wa umri wa juu yako,mfano mimi waifu namzidi miaka 5
Huyu nilienae saivi ananizidi miaka 7 na ndio nilitamani nipate wa range hiyo.. sasa hawa wanaonesha nia wote mkubwa sana kanizidi miaka 4
 
Japo unasema huwapendi angalia ambaye unajua basi utaweza kumuheshimu akikuoa olewa naye, na umuombe Mungu akuonyeshe yapi magugu na yupi mume, au wote magugu tu.
Unaweza dhani kati ya wote hao lazima mmoja akuoe kumbe wote kakumba tu hamna mume.
 
hofu yangu usije kua damaged good kabichi ilooza tupa kule,

tumia your own criteria kuselect anaekufaa kulingana na sifa na vigezo vya aina ya mume unae mtaka.

vinginevyo utajuta. Muneo yumo ndani ya hao wanaume wa5 ulowapa namba na ukaanza kuwapanga 🐒
 
Rudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.
Asante kwa kunisaidia hili hapa ndipo na Mimi nilipoumia hadi kulia machoziiii

Furaha yangu ya Yanga yote imedidimia kwenye matope anti yake junior
 
Sanaaaa! Yamkini unaweza kuona sawa namna unavyojichukulia!

Ila kwa Mimi ambaye Nina waheshimu sana wanawake naona umejishusha thamani!

Yaani unawezaje ku date na kuwa huru na mtu ambaye unaona Hana future na wewe?

Labda tunaona tofauti! Mtazamo
Mkuu tuna miezi 2 hapo sasa kuna future yoyote… maana hata kumpenda bado ndio najifunza.. halafu kama mnavyojijua wenyewe mwanaume anaejielewa hawezi kutongoza kwa gia ya ndoa.. mpk akuelewe sana ndio atazungumzia suala la kuoa

Na mimi sitaki kumpa pressure mtu anioe nataka aamue yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…