Wanawake mlioolewa na wale msiowategemea mliwezaje

Daah ila sijawapanga mkuu hakuna niliemkubali wote nimewaweka njiapanda
Rudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.
Rudia kusoma paragraph uliyoandika huyu niliyenae naona tuko normal tu japo si japo sijui vitu vingi kuhusu yeye....Dada hapo ipo kwenye mahusiano usiyojua yanahusiana na nini.
Nimesema hivyo ni kwa kuwa tuna miezi 2 so bado sijaona picha…
 
Japo unasema huwapendi angalia ambaye unajua basi utaweza kumuheshimu akikuoa olewa naye, na umuombe Mungu akuonyeshe yapi magugu na yupi mume, au wote magugu tu.
Unaweza dhani kati ya wote hao lazima mmoja akuoe kumbe wote kakumba tu hamna mume.
Kweli ngoja niombee
 
Hapa ndipo kwenye kwenye tatizo ,neno "kupenda "kunatumika vibaya ,tunaoa au tunaolewa na watu tutakaokuwa tayari kuwapenda sio tunaowapenda.Feelings ulizonazo Leo Kwa yule unasema unampenda ukikaa nae miaka mitano inapotea/kuisha ,swali ni je utaendelea kumpa kipao mbele ?kama jibu ni ndio basi huyo ndio mme.Ndoa inadumu Kwa uchaguzi/choice sio hisia,ndoa za hisia hata mwaka hazimalizi
 
Mkuu! Please usizidi kuniumiza moyo! Unanilizaaa!

Namshukuru Mungu kuzaliwa wa mwisho na Sina mdogo wa kike!

Unawezaje kuingia kwenye mahusiano na mtu wakati humpendi? So kilichokuvuta kwake ni Nini?

So wakati unaendelea kujifunza kumpendaaa unamvulia na nguo? Ukielewa ninachopigia kelele hata ni namna ya kutunza thamani yako

Basi ungenilewa kwanini nimelia sana!

Ko kama mtu Hana future na wewe akaamua tu kukutumia kwa muda mfupi afu akapita hivi utajiskiaje?

Nilieleza Jana sehemu nikasema! Mimi naweza kukaa single muda mrefu kwa sababu naogopa sana kuingia kwenye mahusiano ya kujaribu!
 
Ogopa sana hao ma Church boy fix sana
 
Ogopa sana hao ma Church boy fix sana
Yeah na mimi nawaza haswa kusalitiwa Bora ujue huyu ana tabia hizi unajua unaishi nae vipi kuliko kujifanya wa kanisani halafu mnazinguana
 
Ntarudi
 
Nisikufiche tangu niache kanisani shetani kanifunga hata kuomba nashindwa.. naombaga mda wa kula na kulala tu
 
Kumbe
 
Nifanye nini mkuu ndio maisha.. mngekuwa wanaume wote wako kama wewe… kusingekuwa na single maza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…