Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

Wanawake mmezidi mawigi yananuka kweli!

Kuna moja niliona sitaji kabila hapa ila lilivyoshonwa Kama kiroba cha cement 😅😅😅nguzi unaona kabisa demu kanipoteza mzuka nikajua huyu mshamba kabisa
 
Mbna huyo ni mtu mmoja! Sema id 2 tofauti!
Kweli watu ni tofauti sana ya munooo!! wenzako wakiliona tu wig!!...oombo inasimama wima!! ukikaribia harufu ile unapigwa weeee mpaka asubuhi!! sema tukusaidie nini?

wenzako wange chukia tusinge vaa!! tena hao hao ndo wana tununulia na ndo tuna wavalia ...vibabu mnataka nini???? ...wasipo niona nalo wataleta lingine na lingine kwa mfano mie ninayo 300!! ya kila aina......nikivaa wig lazima nina laki 9 kwa siku.

lkn nisipo vaaa elfu hamsini kazi kuipata sasa hata km ni wewe utafanyaje?
 
Jamani baadhi ya wanawake tena sio baadhi asilimia kubwa muoshe, mfue au muwe mnaanika mawigi yenu.

Kuna dada mbele yangu hpa ATM foleni wigi lake linatema balaa! Yaani nahisi halijafuliwa mwezi mzima. Mpaka yale ma nzi makubwa yameshaanza kuzungukia hapa. Khaa! This is too much now!
Inasikitisha sana aiseh
 
Mleta Mada bana!! anafurahisha sana, yananuka kwanza tumsaidie anaishi wapi kwanza!!! kulee mabondeni kwenye maji ya naniliu ya..... visima vya maji ya chumvi!! ...water table ziko karibuuuu!! na hata hivo visima vyao si virefu!! labda ndo maana yana nuka mavi!
 
Back
Top Bottom