Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Ukiona watu wanakutilia mashaka bc ujue umekosea, mwanaume hatakiwi kutiliwa mashaka ht kdg kwenye ishu kama hizo
Kumbuka nina miaka 10 JF soo atulie kabisa na soma post zangu za nyuma uone mimi ni straight
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
"......Sikosoi uumbaji wa Mungu ......"

Halafu hapo hapo ukakosoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…