Wanawake mna haki ya kutopenda Wanaume wafupi

Wewe ni mwanaume unatamani ama unapenda mwanaume wenzako awe mrefu ili iweje, akupige miti?

Hakuna mtu anachagua mzazi, ufupi ama urefu ni matokeo makubwa sana ya urithi kutoka kwa wazazi. Hakuna mtu anapenda kuwa mfupi kama ingekua uchaguzi wake.
Mwache huyo boya amezoea kupigwa miti na ni mpumbavu.
Mwanaume anamtamanije mwanaume?
 
Unajisifu kumkojoza mke wa mtu, mmmmh.
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Sasa toa ushauri tufanyeje turefuke ili ukituangalia tusikuudhi? Tusaidie wenzenu tunatia huruma halafu tunawakera ñyie warefu halafu hatuvutii wanawake.
Wenzetu mnafaidi sana kupendwa na pisi kali. Hongereni sana kwa kweli.
 
Jaman,bado mnahitajika sana...
Huwezi pendwa na wote mkuu
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Kwa nini mnatuchukia hivyo "sisi" long persons kwa kwenda chini?Mola aturehemu!🙏😎
 
Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Kwahiyo wewe ni mwanaume na unapenda wanaume warefu. Sasa unawapendea nini? Funguka mkuu wape wanawake uzoefu elimu haiishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…