permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
Hana kosa, watu wakiwaona kwa mbali watamwelewa vibaya kuwa anatembea na mwanafunzi.Kuna mwanamke alikuwa slay queen nilizaa naye, ni mrefu kunizidi mimi, ikawa anaogopa kutembea na mimi maeneo ya public; baada ya kuona hivyo, nikajiweka pembeni na kuweka vikwazo vya kiuchumi kama US wanavyofanya; kwa sasa analelewa na wazazi wake.
Wakiwa na hela mbona warefu tuu,tena tunawaona "majentomeni" kabisaa yani,Yani full package..
Hatari sana 😀😀Wewe ni mwanaume unatamani ama unapenda mwanaume wenzako awe mrefu ili iweje, akupige miti?
Hakuna mtu anachagua mzazi, ufupi ama urefu ni matokeo makubwa sana ya urithi kutoka kwa wazazi. Hakuna mtu anapenda kuwa mfupi kama ingekua uchaguzi wake.
Hebu weka picha ya kale ka Emoro alikoangukia Miss Natafuta? Baada ya kupigwa vumbi miaka 10 bila bila imebidi achukue chochote kilichokuja mbele yake!Aisee mimi ni mwanaume ila wanaume wafupi wanaudhii yaani hata ukimuangalia anatia huruma hasa akiwa na kitambi daah..
Sikosoi uumbaji wa Mungu ila mwanaume kuwa mrefu inapendeza bana
Usimnyanyapae, ametendwa kwenye mahusiano na short gayMwanaume anaanzisha Uzi kuwa havutiwi na wanaume wafupi daah 😄😄
Dunia inaelekea wapi?
Uanaume unaelekea wapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Huyu ndio sisi buana
Nipe location kijeba wangu,nikujekee🏃🏃💅Bora unetutetea sie wafupi wenye mihela.
Njoo basi wikend uspend hela za mwanaume mfupi mzabzab hapa
😂 ni mwendo wa kuwaconfuse tu 😅Ni ya Madam Theresa49 😊
yes, straight in public, but you have another dark side, na umelazimika kushare in public, your deep love of tall gays, bse they have long dickDaah watanzania wengi mna matatizo aisee mimi ni straight kabisa kama unabisha niletee mke wako au demu wako au wewe mwenyewe then utakuja kutoa ushahidi humu
Njoo hapa rotana tumix and mingle na viongozi wa east africaNipe location kijeba wangu,nikujekee🏃🏃💅
Utatuma na ya kutolea,au ni request utalipia nikifika,tajiriiii??Njoo hapa rotana tumix and mingle na viongozi wa east africa
Maswali mengine magumu sana 😅😅😅😂 ni mwendo wa kuwaconfuse tu 😅
Ah wee bwana mie hela ipo wee nipe namba nikutumie hela uje. Vipi nikuoe na ya shopping kabisa ukanunue crop top na leggings plus high heels mtoto uonekane sexyUtatuma na ya kutolea,au ni request utalipia nikifika,tajiriiii??
Ila warefu wanafaidi maana wanapendwa na wanawake. Kuvuta oxygen pamoja siyo kufaidi ni kuishi tuu.Mwisho wa siku wote wafupi kwa warefu mko fungu moja tu,Oksijeni tunayovuta ni moja.
Hakika hii ni faida kubwa sana...
Awww, 🥰 yo' sooo shwittttyy kijeba wangu jomoniii 😂tuma tuu na ya shopping, Mimi tall ntavaa tuu flat babe ili nisikuzidi zaidi urefu,au unasemaje? Ila tajiri ukisema nivae kata platform ntavaa🥰Ah wee bwana mie hela ipo wee nipe namba nikutumie hela uje. Vipi nikuoe na ya shopping kabisa ukanunue crop top na leggings plus high heels mtoto uonekane sexy
Kwa maisha kuna starehe nyingi sana...inategemea wewe umeipa kipaumbele starehe gani.Ila warefu wanafaidi maana wanapendwa na wanawake. Kuvuta oxygen pamoja siyo kufaidi ni kuishi tuu.