moyo wa bilionea
JF-Expert Member
- Jun 17, 2022
- 327
- 649
Hamnaga baya ktk mahusiano mnajua nini wanawake tunatakaWacha nijenge nyumba nyingine kisirisiri maana aya mambo yapo hot[emoji91] natafuta kasugarbaby kamoja yaan nitakaonea kwa mapenzi hadi kanione handsome nalisuralangu hilihili.
Acha tu mwnyw nimeshtuka, kumzeesha mkaka wa watuMiaka 38 mzee? Mkuu upo serious?
Iyo imekuwa sawa na mimi mkuu🤣🤣 kwa mke ila kwa mchepuko mi sina 🤣sio kesi mke wangu nimemzidi miaka 11 mchepuko nimemzidi maika 13
Yaan wew na 35 yako ye ana 20 lakini kwa muonekano mnapeana na mambo kabsa na namba mnapeana... suala la kujua huyu kanizid miaka mingap ilo ushakula na mzigo mara kibao katika mastor ndo unajua khaa nimekazid 15yrs aseeeMm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.
Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.
Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.
tofauti kubwa sana ni miaka mingapi madam Mamndenyi ?15 michache hata zaidi ya hiyo.
eti ... it's just a numbers....
Jibu la uhakika la swali lako/wasiwasi wako analo huyo binti umpendae.Sawa mnabebishwa, ila nachouliza mnavutiwaga na muonekano wa hao wanaume? Isije ikawa unaenda kwa huyo mwanaume alokuzidi miaka 15 kisa pesa..
Mimi ninachokwepa ni kupendewa hela na huyo binti, ukute Labda muonekano wangu (physical appearance) haumvutii kwasababu ya umri wangu kuwa mkubwa..ukute huyo binti kichwani anawaza huyu babu alonizidi miaka 15 ntampeleka wapi, Siwezi olewa nae, naona aibu kutembea nae barabarani, ngoja anihudumie kipesa, ilhali moyo wangu uko kwa kijana wa rika langu k.v miaka 24 au 22 Joannah Dinazarde
" tunawapa yote yanii" hiyo ndiyo inakuwaje!!??Huo ndo uhalisia na tunawapa yote yanii,,, ooh nampenda mwanaume huyu acha tu
Kapeace umejua kutuliwaza mababu aseeMi ladha yangu ni wanaume wakubwa kiumri kianzia gap la 12 -18 hapo najisikia raha sana na sura yake isiwe nzuri awe mbaya yani mbaya ndo napata burudani hao ndo wanakuwaga wanaume jamani,, wanathamini mapenzi, wanajua kupiga mashine, wanapambana na wanajiweza kimaisha,,
oi mtongoze tu hatak pesa wala nn mapenz n mapenz umri ni namba tuMm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.
Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.
Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.
Kuna jamaa mke wake kachakazwa,jiandae kuchakaziwa mzee baba.Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo.
Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake.
Wanaume wenye uzoefu na hili pia mnakaribishwa kuchangia hapa.
Wenye kuelewa wameelewa" tunawapa yote yanii" hiyo ndiyo inakuwaje!!??