Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

Tofauti ya miaka 15 siyo mbaya..

Ukimzidi sana uwe na mpunga wa kuziba hilo gap, kama Trump:-
Donald Trump 76
Melanie Trump 52
76 - 52 = 24
 
Ata mi nimepishana na wife 5 year ni marafiki tuloshibana sijaona shida na kufikia apa tulipo tumetafuta wote na amani ipo
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kuna siku utamuona kama mama yako 😀

Kwenye haya maisha kikubwa upate mtu mwenye akili tulivu na mwenye utu na hasa muwe marafiki, mengine mimi siyawezi.
 

POINT [emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1319][emoji1319][emoji1319]
 
Kuna mtu kasema hapo juu kuwa kuna siku utamuona kama mama yako [emoji3]

Kwenye haya maisha kikubwa upate mtu mwenye akili tulivu na mwenye utu na hasa muwe marafiki, mengine mimi siyawezi.

[emoji16], hakuna ukweli apo, mtu mkizoeana anakua part of your life asinitishe.
 
Wanawake wengi wanapenda hiyo age gape. Wanaamini mwanaume anakua matured tayari.

Binafsi mimi kwangu hapana, ntaboreka, Mi napenda gape 0-5 tukue pamoja, tuzeeke pamoja na tutafute pamoja.
unachemka, 0-5 gap we ndo utazeeka utamuacha yeye, huyo hamzeeki pamoja sio rika lako huyo, rika lako kama mnataka mzeeke pamoja ni 10-15 gap
 
Mwanamke akiwa chini ya 25 gap lisizidi 10.. ila above 25 gap linaweza kuzidi 10
 
Mnaogopa uzee kuliko kila kitu kwanini? Mimi furaha yangu ni kuwa na mume kijana mwenzangu, Mengine hayo ni ya kwenu mi hayanihusu.
wewe ndo ukimuangalia yeye utakua na kijana, ila yeye yeye akikuangalia yeye atakua na mzee, so kauli yako itaelemea upande mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…